Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

Ngoma hii ni kali baada ya wale vibaraka wa mabeberu wa zamani kudhibitiwa kwa kupigwa marisasi,kutekwa,kupotezwa sasa limeiubuka kundi jipya la vibaraka wa mbeberu ambao wapo kwenye vita ya kiuchumi na sisi na wametumia issue ndogo tu ambayo inaingia kwenye nerves za wanyonge kidogokidogo

Mbaya zaidi hao vibaraka tuko nao mtaani wanamiliki viduka na vibanda,lo salaleeeee beberu anatumia hadi wauza duka kuchonganisha serikali ya wanyonge na wanyonge wake?

mabebeeee.JPG
phd majalalaniIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.jpg
 
Naomba kuuliza uhusiano baina ya Tz Bara na Zanzibar kuhusiana na suala la Sukar.
Tanzania bara sukar umekua adimu na ikipatikana inauzwa kwa bei ya juu sana.
Zanzibar sukar inapatikana kwa bei ya chini sana kilo moja 1700-2000. Na huruhusiwi kuagiza sukar toka Zanzibar kwenda Dar zaid ya kilo 5-10. Usisangae ukituma sukar zaid ya kilo5 ikataifishwa bandarin na mamlaka. Sijafaham kwanini na kuna nini ndan ya muungano huu. Sijausoma mkataba huu na nilifaulu somo la urai lkn nimeshasahau kila kitu.
Au inajumuishwa ktk bishara za kutoka njee lakin ingekua vyema waruhusu watumiaji wanunue toka znz kwa matumizi hususan mwez huu.. Maamuzi mengine Unaweza jifungia chooni kutafakar na usipate jibu .. TUELEMISHANE TAFADHAL.
 
Hata Kenya sukari iko kibao!
 
Tuanze kujiuliza kwanza Zanzibar ni nchi au siyo nchi?

Majibu ya Pinda yanaonyesha siyo nchi.......sasa sukari wamepata wapi?
 
Uganda sukari ipo, Kenya ipo, Zanzibar ipo ila Tanganyika haipo.

Uganda kilo ya sukari ni tzs 1800 za kitanzania, huku Tanzania ni 3500 hadi 5000 tena hapo kwa magendo.

Hii nchi sukari saga ni kila mwaka.
 
Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.

Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.

Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.

Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!

Mzee amefanikiwa ku-control karibu kila sekta nchini inakwenda vzr. Nadhani tumuombe na hili jambo la kuadimika sukari kila mwezi wa ramadhani angalau 2021 liwe tumelimaliza. ngoja tuone. tufanyeni subira kwani subira yavuta kheri.
 
Jana nimeenda sehemu asubuhi nataka chai naambiwa hakuna, kuuliza kwanini wanasema sukari hakuna madukani.

Wanawalazimisha wauzaji wa rejareja wauze kwa bei wanazotaka serikali (bei elekezi), wakati hao jamaa walinunua sukari yao kwa bei ya juu toka kwa wauzaji wa jumla, wauzaji wa rejareja walichoamua sasa ni kuificha sukari yao, hawaiuzi wasijepata hasara.

Ndio nikapata akili, naona siku hizi kama taifa tumeanza kurudi nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.

Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.

Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.

Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!

Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.

Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.

Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.

Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!

Zanzibar sukar ni 1700
 
Naomba kuuliza uhusiano baina ya Tz Bara na Zanzibar kuhusiana na suala la Sukar.
Tanzania bara sukar umekua adimu na ikipatikana inauzwa kwa bei ya juu sana.
Zanzibar sukar inapatikana kwa bei ya chini sana kilo moja 1700-2000. Na huruhusiwi kuagiza sukar toka Zanzibar kwenda Dar zaid ya kilo 5-10. Usisangae ukituma sukar zaid ya kilo5 ikataifishwa bandarin na mamlaka. Sijafaham kwanini na kuna nini ndan ya muungano huu. Sijausoma mkataba huu na nilifaulu somo la urai lkn nimeshasahau kila kitu.
Au inajumuishwa ktk bishara za kutoka njee lakin ingekua vyema waruhusu watumiaji wanunue toka znz kwa matumizi hususan mwez huu.. Maamuzi mengine Unaweza jifungia chooni kutafakar na usipate jibu .. TUELEMISHANE TAFADHAL.
Duh...!.

Habari Njema Zenji: Juhudi za Mhe. Balozi Amina S. Ali zazaa matunda, TradeMark yamwaga madola! - JamiiForums
P
 
Ngoja nisogee kwa mangi kuchukua soda ntashushia na maandazi yangu kesho asubuhi.
 
Al bashir wa Sudan alionndolewa madarakani kwa kuzidisha bei ya unga wa ngano tu. Watanganyika sisi ni washamba wa maendeleo na tutaendelea kunyanyaswa maisha yetu yote hata na Washamba wanaokuja mjini!
 
Uganda sukari ipo, Kenya ipo, Zanzibar ipo ila Tanganyika haipo.

Uganda kilo ya sukari ni tzs 1800 za kitanzania, huku Tanzania ni 3500 hadi 5000 tena hapo kwa magendo.

Hii nchi sukari saga ni kila mwaka.
Ulitegemea upate sukari ya magendo kwa buku jero?
 
Back
Top Bottom