Tawi la CHADEMA mkoani Tanga limepata pigo

Sultan_mdosse

Senior Member
Nov 24, 2013
145
15
Tawi la Chadema katika chuo cha Hekenford mkoani Tanga limepata pigo baada ya Mwenyekiti wake kuamua kuhamia CCM.
Source:Star tv
-----------------------
Ni mara chache sana kusikia mwanachama wa CCM kuhamia Upinzani lakini trend ya wanachama wa CDM kuhamia CCM imekua ikiongezeka.Wana Chadema tuambieni mbona mnakimbiwa kiasi hiki kulikoni?
 
Back
Top Bottom