Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,883
- 6,883
nyie watt wa kishua babazen wana wasomesha kwa kodi ze2, ajui shida na maisha wanayo ishi watz....naamin mtalaaniwa..
Kumbuka CCM imegeuka kabisa na kuitupitilia mbali katiba na misingi yake na sasa inafanya sera zisizo na mpangilio za kufukuzia Chadema kila kukicha.
- Maandamano na mikutano ya Chadema kuzunguka nchi nzima ambayo ilikuwa inabezwa na CCM sasa hivi wanatoka jasho kwa kasi ya ajabu Nape na wenzake akina wasira, juzi walikuwa Kigoma, next week wapi sijui.
- Wanaiga Chadema ambao majuzi akina Zito walikuwa DC kufungua tawi.
- Kuiga Chadema kufanya kampeni kwa chopper
- Kuiga maanamano ya Chadema