Tausi Mdegela:: Uzuri wa mwanamke dela babuu

bikira latifah

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
594
1,351
1477901829066.jpg
 
Ha ha ha ha Semdegela ana maneno sana huyu binti.Niliwahi kwenda Iringa kama miaka minne iliyopita kwa ajili ya mambo yangu ya kikazi.Nilifikia hapo FARAJA HOUSE karibu na Ofisi au Boma la Iringa,huyu binti alikuwa anauza duka la vifaa vya asili kwa ajili hasa ya watalii.Na yeye nafikiri waliomuajili wanamtumia kama "sehemu ya Utalii".

Mleta mada huyu binti bado yupo hapo?Sijarudi tena Iringa kwa muda mrefu,umenikumbusha mbali.
 
Back
Top Bottom