MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Shabiki anayedhaniwa kuwa ni wa Mbeya Cirty ambaye jina lake halikupatikana mara moja, alipoona ‘kosa-kosa’ zimezidi kwenye goli la KMC FC dakika za majeruhi, kwenye mchezo wa VPL jana [Jan 2, 2021] alivamia uwanja kutaka kutoa TAULO la Juma Kaseja lililokuwa golini.
Baada ya kuona hivyo mkongwe JUMA KASEJA aliacha goli wazi huku game inaendelea na kwenda kupambana na shabiki huyo kumzuia asichukue TAULO! Kaseja alifanikiwa kumzuia shabiki huyo na kulibakiza taulo lake golini.
Baada ya mchezo reporter wa SPORTS XTRA Mbeya [Jirani Mtembezi] akapiga story na Kaseja kutaka kujua kwa nini alitumia nguvu ya ziada kuzuia TAULO lisitolewe golini.
“TAULO sio langu ni la hotel tulipofikia, niliomba nijenalo uwanjani kutokana na hali ya hewa ya hapa, mvua zinanyesha kwa hiyo nilichukua ili niwe nafuta gloves zikilowana au mvua ikiongezeka niwe najifuta usoni.”
“Kwa hiyo kama angelichukua inamaana ningeenda kudaiwa hotelini lakini TAULO halikuwa na chochote.”
Taarifa: shaffihdauda
Kwahiyo nyie mnataka kutuambia na wengine tukiwa Hotelini basi tunaweza hata Kuondoka na Sandals zao au Sabuni kwenda nazo Mitaani na Kuogea maeneo mengine kisha tukirejea huku Hotelini katika Check Out tunavirudisha hivi Vitu vyote?
Kuna Member Mmoja hapa JF ambaye ni Mtani wenu mkubwa hupenda Kuwatania nilidhani huwaonea kumbe huwa yuko sahihi.