TATUMZUKA


king vana

king vana

Member
Joined
Apr 9, 2017
Messages
92
Likes
45
Points
25
king vana

king vana

Member
Joined Apr 9, 2017
92 45 25
Jamani eeeh!!!! Jana kwenye droo ya sa 3 usiku nimeliwa pesa yangu nyingi saanaaaaaa..... Wakasema wanshughulikia mpaka sasahivi hamna kushughulikia na wamekaa kimya wakati watu tuliweka pesa zetu pale jamani.......
Serikali hii itusaidie na utapeli wa jana.... Japo nilivodhinda droo iliofata walinipa pesa yangu.... Lakin droo namab 2524 haipo na watu tukibashiri... Jamani eeeh tunataka mwache utapeli mturudishie pesa zatuuu
screenshot_20171030-220334-png.621167
screenshot_20171030-232740-png.621168
screenshot_20171030-232829-png.621169
 
msafwa93

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Messages
4,035
Likes
2,980
Points
280
msafwa93

msafwa93

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2011
4,035 2,980 280
Anza kubet mkuu achana na hizo droo za kitoto
 
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
30,777
Likes
164,451
Points
280
Kichwa Kichafu

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
30,777 164,451 280
Hiyo ndio mizuka yenyewe mkuu kwani ujaelewa maana ya mizuka.
 
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
7,141
Likes
9,788
Points
280
natoka hapa

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
7,141 9,788 280

Kubet ubeti mwenyewe ukiliwa unaanza kulilia serikali?

"Invest what you're willing to lose"
 
Kusinboy

Kusinboy

Senior Member
Joined
Aug 19, 2016
Messages
174
Likes
120
Points
60
Age
36
Kusinboy

Kusinboy

Senior Member
Joined Aug 19, 2016
174 120 60
Daah!!!! Kweli kabisa... Maana jana wamenipiga mpunga wangu kweupeeeee mchana yani..... Sema kubet hamna JUMADILI AU JUMAPILI YA MILLION 60
nimecheka pekeangu hapa dah!!!!!
 
D

Dundo_Boy

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
2,486
Likes
2,408
Points
280
D

Dundo_Boy

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
2,486 2,408 280
JUMADILI HII, nikiona neno hili najua ni matapeli tu!!. Haiwezekan kudanganya watu wazima
 

Forum statistics

Threads 1,249,419
Members 480,661
Posts 29,697,474