Tatua tatizo lako la kiafya bila kutengeneza madhara mengine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatua tatizo lako la kiafya bila kutengeneza madhara mengine

Discussion in 'JF Doctor' started by health, Aug 21, 2012.

 1. health

  health JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 327
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hello !
  Tunashukuru kwa kuwa sote tuu wazima na tunapumua bila kulipia hii pumzi.
  Ni kuwa kuna watu wengi sana wanasumbuliwa na magonjwa lakini hawajui namna ya kuyatatua. Wengine wapo busy sana kila siku hivyo hupotezea na kuendelea na kazi huku matatizo ya kiafya yakizidi kuongezeka. Mfano mzuri ni watu wanaosumbuliwa na fungus. Wapo wanaotumia dawa kwa siku moja na ya pili na baadaye kuacha na hali kujirudia.
  Pia wengi hawafahamu madhara ya kutumia dawa kwa matibabu ya magonjwa mbalimbali. Mara utumiapo dawa zingatia namna ya kuhakikisha baadaye sumu ijikusanyayo mwilini inaondolewa na kuucha mwili ukiwa safi kiafya.
  Hapa nina lishe safi asilia inayosaidia ktk kuondoa matatizo na kukuwezesha kuwa na afya njema:
  >Kuondoa sumu mwilini
  >Kuondoa matatizo ya fungus(zipo fungus za aina nyingi)
  >Matatizo ya pressure
  >Matatizo ya mgongo kuuma
  >Matatizo ya uzeeni(ikiwamo joints kuwa na shida, kushindwa kula n.k.)
  >Matatizo ya tumbo hasa kwa kina mama(uvimbe tumboni)
  >Vidonda vya tumbo
  >Matatizo yote ya ngozi
  >Kuondoa uchovu na kuupa mwili nguvu
  >Kuupa mwili virutubisho muhimu vinavyokosekana katika vyakula vyetu
  >Matatizo yote ya uzazi(hasa kwa kukosekana kwa nguvu za uzazi)
  >Matatizo ya mfumo wa utoaji taka mwilini
  PIA USHAURI NA VITU GANI VYA KUZINGATIA KIAFYA SABABU YA KUKOSA UELEWA
  >Bidhaa muhimu za usafi wa mwili pia(Kumbuka huwa tunatumia bidhaa zenye madhara sana bila kufahamu mfano deodorants, perfume,aftershave,lotion,toothgel n.k.)
  >Bidhaa za urembo mfano lipstic, wanja,mascara,powder,foundation n.k(zote hizi zimeandaliwa bila kusababisha madhara)
  >Pia lishe kwa ajili ya kuongeza au kupunguza uzito wa mwili

  ZIPO BIDHAA ZAIDI YA 280 KWA AJILI YA AFYA NA NI MUHIMU KWA AJILI YAKO

  Ukiwa na tatizo/swali lolote usiwe na shaka kabisa kuuliza na sababu wengi sana
  hukosa kujiamini kuuliza. niandikie kwa email: ishealthy@hotmail.com

  NB: Nimejitolea kukusaidia sbb hata mm nilikuwa na tatizo na likatatuliwa.
   
Loading...