Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Wadau wa JF.
Kuna jirani yangu ni mdogo kiumri kamaliza chuo mwaka juzi, na mwaka huu kafunga ndoa.
Kaniomba ushauri kuhusu ndoa yake ndio kwanza ina miezi saba tu, tatizo liliopo huyo kijana ananiambia huyu mke wake alikuwa anasoma chuo pale IFM, alikuwa anafuatilia toka mwaka wa kwanza.
Kila hakimuomba wawe wapenzi yule mwanamke anamwambia hawezi kuingia kwenye mahusiano na mwanaume yoyote mpaka siku atakapofunga ndoa.
Kijana akashwawishika na yale maneno ya yule mwanamke, jirani akatangaza uchumba, mwanamke akakubali, wakawa wachumba mwanamake akamwambia mwanaume tendo la ndoa watafanya siku ya harusi mwanaume, akakubali sababu na mapenzi ya kweli.
Siku ikafika wakafunga ndoa wakawa mume na mke, jirani ananiambia mke wake kachora Tattos kwenye mapaja yake, Tatoo moja kachora alama ya Moyo, paja la pili kaandika I love you Kevin.
Nimemuliza kwa nini ulijichora hivi ananijibu mbona vitu vya kawaida usijali mpenzi, nilichorwa na rafiki yangu wa kike wakati tupo chuo.
Jirani anasema kinachomuuma zaidi ni hayo maneno I Love you Kevin, sio jina lake.
Wadau tumsaidiaje jirani yangu nawakilisha