Tattoos, zinataka kuvunja ndoa msaada jamani

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wadau wa JF.
Kuna jirani yangu ni mdogo kiumri kamaliza chuo mwaka juzi, na mwaka huu kafunga ndoa.

Kaniomba ushauri kuhusu ndoa yake ndio kwanza ina miezi saba tu, tatizo liliopo huyo kijana ananiambia huyu mke wake alikuwa anasoma chuo pale IFM, alikuwa anafuatilia toka mwaka wa kwanza.

Kila hakimuomba wawe wapenzi yule mwanamke anamwambia hawezi kuingia kwenye mahusiano na mwanaume yoyote mpaka siku atakapofunga ndoa.
Kijana akashwawishika na yale maneno ya yule mwanamke, jirani akatangaza uchumba, mwanamke akakubali, wakawa wachumba mwanamake akamwambia mwanaume tendo la ndoa watafanya siku ya harusi mwanaume, akakubali sababu na mapenzi ya kweli.

Siku ikafika wakafunga ndoa wakawa mume na mke, jirani ananiambia mke wake kachora Tattos kwenye mapaja yake, Tatoo moja kachora alama ya Moyo, paja la pili kaandika I love you Kevin.
Nimemuliza kwa nini ulijichora hivi ananijibu mbona vitu vya kawaida usijali mpenzi, nilichorwa na rafiki yangu wa kike wakati tupo chuo.
Jirani anasema kinachomuuma zaidi ni hayo maneno I Love you Kevin, sio jina lake.
Wadau tumsaidiaje jirani yangu nawakilisha
 
Kaazi kweli kweli! haya kwanza mpe pole jamaa sana,na kama anampenda kweli mkewe na Tattoos sio sababu kubwa yamsingi kumuacha au kugombana,ampeleke wakatoe,na huyu mdada nae anamapenzi yakizamani mambo yakuandika majina ya B/F kwenye mwili tangu enzi ya kina Amita Bacchan na Hemamalini bado tuu anayo,wanaume wenyewe wako wapi kwanza wakujihashua kiasi hicho.......
 
Kama ni tatoo za kuchora kwa kuchoma pini, kuna namna pekee ya kutoa ambayo ni very crude!! na inamuharibu ngozi ya hilo eneo muhimu ktk mahamasa ya mambo yetu. Njia hiyo ni ya kukwangua hilo eneo kwa kutumia surgical blade ili kuondoa hiyo ngozi iliyochukua hiyo stain. Of course atakwanguliwa under local analgesia!!. Hii huwa wanafanyiwa vijana wenye tattoos wanaotaka kwenda jeshini!! Ningekuwa TZ ningekusaidia!!
 
Afute maisha yaendelee kama kawaida,,ila amuonye asije akamruhusu Kelvin ku disturb ndoa,,amuamini tu maana ni kama kosa la kwanza,kama mamii hana mahusiano mengine nje kwa sasa haina mbaya.
 
kwani alimuambia hajawahi kupenda ama hajawahi kushiriki tendo la ndoa? aliwahi kumpenda huyo kelvin, innocently akaji-tattoo jinale then akagundua kimeo. washirikiane kuondoa ghost ya kelvin huku wakiendelea kupendana nadhani.
 
hii ndio shida ya mbuzi wa kwenye gunia. Na dada alikuwa mjanja kukataa kabla ya ndoa maana ingemnyima ndoa..

Angalizo: kagueni mizigo yenu kabla ya kuchukua
 
kwani alimuambia hajawahi kupenda ama hajawahi kushiriki tendo la ndoa? aliwahi kumpenda huyo kelvin, innocently akaji-tattoo jinale then akagundua kimeo. washirikiane kuondoa ghost ya kelvin huku wakiendelea kupendana nadhani.

Yeah...that Kevin Ambrose is something else!
 
i guess huyo mtu nae ana matatizo.. Inawezekanaje siku zote hata hilo paja hajawahi kuliona. Kwel watu tunatofautiana.
 
meona eeh? i also tattoed him on me,know! he's holy crap!

You tatted up his name too? Damn girl...he must have been tearing that thing up like there was no tomorrow....yeah....that thing that Lauryn Hill sung about. Memba that song?
 
nah nah! got same formulae like that gal, u dont see nothing till u marry me.bt he lured me into this commitiment to make u jelous. lucky me,i had it laser removed!
You tatted up his name too? Damn girl...he must have been tearing that thing up like there was no tomorrow....yeah....that thing that Lauryn Hill sung about. Memba that song?
 
Kama ni tatoo za kuchora kwa kuchoma pini, kuna namna pekee ya kutoa ambayo ni very crude!! na inamuharibu ngozi ya hilo eneo muhimu ktk mahamasa ya mambo yetu. Njia hiyo ni ya kukwangua hilo eneo kwa kutumia surgical blade ili kuondoa hiyo ngozi iliyochukua hiyo stain. Of course atakwanguliwa under local analgesia!!. Hii huwa wanafanyiwa vijana wenye tattoos wanaotaka kwenda jeshini!! Ningekuwa TZ ningekusaidia!!

Mkuu, kuna specialist wa skin surgery au clinic yoyote unayoijua nimuuelekeze aende akafute jina ilo la Kevin
 
huyo rafiki yako nae f.a.l.a atazionaje hizo makitu baada ya kuoa??? inamaana hakuwahi kumsalula wakati wa ugirlfriend?? nyie ndo mnaooa kwa fasheni au kuigiliza....tena bora hata ungesema dem wa chuo kingine lakini IFM?? chunguza fresh lazma "kelvin" atakua kibopa wa BOT.
 
kwanza nampa pole sana huyo ndugu
kama wadau walivyoshauri, ajaribu kutafuta wataalam ili wafute hizo tatooo
lakini asimlazimishe bali amwelimishe na amwambie ukweli namna anavyojisikia anapoziona hasa hiyo ya i love you kelvin
inaweza kuchukua muda kuelewa lakini avumilie tu mpaka pale somo litakapomkolea wife wake
pia mwambie ajitahidi wife wake asijue kuwa amemtangaza kwamba kachora totoo maana atajisikia vibaya sana
nadhani wale waliomsaidia kuzichora watakuwa na ujuzi pia wa kuzifuta
la endelea kufanya utafiti ili kumsaidia
 
Back
Top Bottom