Tatoo za mnenguaji mpya wa akudo uspime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatoo za mnenguaji mpya wa akudo uspime

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 7, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,770
  Likes Received: 4,911
  Trophy Points: 280
  <table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="10">
  </td> <td width="606">

  </td> <td align="right" width="139">
  </td> <td align="right" width="12">
  </td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">[​IMG]</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
  Mnenguaji mpya wa Bendi ya Akudo Impact ‘Vinara wa Masauti’, Dalia Ibumbu, mwili wake umeonekana kuwachengua baadhi ya mashabiki wa bendi hiyo kufuatia tattoo zake kuzagaa karibu kila kona ya mwili wake. Usiku wa kuamkia leo, Dalia, alionekana kuwa kivutio kikubwa kuliko wenzake katika safu nzima ya wanenguaji wa bendi hiyo katika onesho lao lililofanyika Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar usiku wa kuamkia leo.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->d
  ..Dalia in action

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ..umenicheki kwa nyuma!

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ..Pedeshee Pius Rutta ‘ Mzee wa Pamba’ akiserebuka kimwana ukumbini humo huku jasho likimtoka.

  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  ..mashabiki wa Akudo dam dam

  HII NDIO RAHA YA USUPASTAA
  <!--ThumbBegin-->[​IMG]<!--ThumbEnd-->
  Mrembo huyo (kulia) alishindwa kuvumilia na kuomba kupiga picha na Prezdaa msaidizi wa Akudo, Tarcis Masela, baada ya kumvutia.

  </td></tr></tbody></table>
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...