donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,031
- 21,499
hey wana Jf doctor. habari zenu? tatizo langu kubwa linalonikumbuka ambaklo si masiara ni kitendo cha kuhisi usingizi mzito pindi ninapotoka lunch break nikiwa kazini. nafaham kidogo kuhusu digestion process etc. lakini nashindwa kuelewa 'coz nikiwa home wala tatizo hili halinikumbi. Naomba muongozo tafadhali. Muito Obrigado