Tatizo Watanzania wamezoea kuwachezea POLISI wetu kutokana na upole na ustaarabu wao.

Two wrongs do not make a right.

I wish Watanzania wangeona polisi wa viwanja wanavyokuja mtaani na baiskeli na kucheza mpira na raia katika zoezi zima la kujenga ushirikiano kati ya raia na polisi.

Polisi wanatoa zawadi za sikukuu kwa watoto nyumba hadi nyumba.

Ukitaka kuendelea usijilinganishe na wa mwisho darasani, jilinganishe na wa kwanza.

Hapo vipi?
 
kenya ya katiba mpya haina huo ujinga, leo tu sijaona polisi akipiga watu kwenye vyrugu angalia citizen tv saa 3 hii, usilete mambo ya mwaka 47, hakuna sababu yoyote inayoweza kujustify uhai wa mtu unathamani kubwa , Ujinga huu wa polisi ni wajinga tu wanaoweza kuuvumilia haukubaliki kamwe, na walaaniwe polisi wanao ua raia wasio na hatia
 
Dah Hapa Ban Nje Nje, Ka- ID chenyewe ndio haka kamoja kamebakia bila ban ngoja nitoke zangu mie!
 
mimi nadhani polisi ndio walioshindwa kuheshimu raia wavumilivu.nadhani wamesahau kuwa tunaishi nao vichochoroni uswazi kwa hiyo tukiamua kuwafanyia inawezekana.
 
polisi ana chombo cha moto anapokupa amri na ukakataa kutii unategemea nini . unataka akitumie hicho chombo cha moto ufe ili umlaumu au usumbue ndugu zako na wakupendao kukuzika . tafadhari watanzania tuzingatie sheria na tuheshimu jeshi la polisi kama tunavyoheshimu majeshi mengine. mfikishie mwenzako ujumbe huu . asiyetaka yatakayomkuta asije kulalamika hapa
Unafikiri kutumia ubongo au kama-si??? Naamini wewe ni msomi (si mbumbumbu) kuwa na silaha haimaanishi itumike wanavyojisikia. Nahisi na wewe ni mmoja wa wanaofikiria kuwa kuwa na silaha basi waweza kuua ukijisikia kufanya hivyo. Basi mahakama zisiwepo wabaki polisi wakamate na kuhukumu.
 
Kaka au dada wewe unaupungufu wa akili wewe kwenda zako huko uliona maandamano ya vijana wa England umeongea pumba sana huna maana
 
Kenge kaa kimya usichafue hali ya hewa km hujaenda shule nenda sasa. wapi polisi wanaruhusiwa kuua mtu aliye chini ya ulinzi, tena mwandishi wa habari.

ndio maana huwa wanakutangazia hali ya hatari . na bunduki kazi yake ni kuua na si kuchezea au za maonyesho . kama ingekuwa za maonyesho zingewekwa sabasaba na wasingetembea nazo
 
Acha ujinga. Kwani kama polisi wanaua SA ni mfano bora kwetu??. Kwa taarifa yako situation ya SA na lile tukio la Marikana miners liko tofauti na lile la Iringa. Wale miners walikuwa na silaha na kuna wakati walikuwa wakijibizana na askari. Pili ule mgomo wao ulikuwa umekwenda zaidi ya week mpaka pale yalipotokea mauaji. Awali, wale miners waliua askari polisi wawili pia. Hiyo ya Iringa ni cold blood killing.

Hawa ndio walewale wanaotoa hoja bungeni kwa kufananisha na nchi za jirani ili kuleta ushawiishi hoja ipitishwe kirahisi, unakuta waziri anasema tatizo lipo chini sana kwetu ukilinganisha na Kenya hapa inatoa tathmini kwamba hakuna mkakati wowote wa kutatua matatizo yetu bali tunachoangalia wenzetu wapo wapi
 
Kaka au dada wewe unaupungufu wa akili wewe kwenda zako huko uliona maandamano ya vijana wa England umeongea pumba sana huna maana

ungekuwa na akili timamu usingefananisha england na tanzania .england ilishaendelea miaka 500 iliyopita wewe unafanisha na nchi ambayo hata haijafuta ujinga . ndio maana nilikufananishia at least na jirani zetu kenya na south africa. naamini kama ungekuwa na akili ungerudi nyumbani kujenga nchi na ungeacha kubeba maboksi na ktawaza wazee wa kizungu .kuishi kwenyewe huko unaishi kimagumashi ukisikia hodi tu uvunguni unajua imigration wamekuja
 
haujui unaloongea wewe, kazi ya polisi sio kuwatisha raia bali kuwalinda wao na mali zao.
 
Mkuu nakubaliana na wewe. Nimekuwa nikijiuliza, DM alikuwa na courage gani awafuate wale askari huku akiwa hana vazi linalomtambulisha kuwa yeye ni jourmalist zaidi ya camera ambayo any body can hold? Kwa wenye akili tulivu, hili tukio ni zaidi ya tulionavyo na kuli~perceive

wewe ni mpumbavu sana. hakuna jinsi ya kukisaidia.
 
ungekuwa na akili timamu usingefananisha england na tanzania .england ilishaendelea miaka 500 iliyopita wewe unafanisha na nchi ambayo hata haijafuta ujinga . ndio maana nilikufananishia at least na jirani zetu kenya na south africa. naamini kama ungekuwa na akili ungerudi nyumbani kujenga nchi na ungeacha kubeba maboksi na ktawaza wazee wa kizungu .kuishi kwenyewe huko unaishi kimagumashi ukisikia hodi tu uvunguni unajua imigration wamekuja

hivi waliowatuma huwa wanasoma post zenu?
 
polisi ana chombo cha moto anapokupa amri na ukakataa kutii unategemea nini . unataka akitumie hicho chombo cha moto ufe ili umlaumu au usumbue ndugu zako na wakupendao kukuzika . tafadhari watanzania tuzingatie sheria na tuheshimu jeshi la polisi kama tunavyoheshimu majeshi mengine. mfikishie mwenzako ujumbe huu . asiyetaka yatakayomkuta asije kulalamika hapa

Naogopa kunena lolote maana nahisi jamaa wanakupa chochote kuharibu upepo wa humu ndani
 
Kwani wafanyakazi wangapi wanalipwa kwa kupitia kodi zetu. isiwe sababu ya kuwazuia wasifanye kazi. una akili za ki MASABURI nadhani otherwise ungekaa kimya

wewe mwanaharamu mbona unajisema,mwenye akili za ki Masaburi ni wewe!
Bila shaka ni zao la shule pumbav ya kata!
 
sure mtu wangu, tomeona wazi walivyobembeleza watu mbalimbali mf. Daudi Mwangozi (RIP), ulimboka, mfanya biashara mdogo pale moro, kule arusha n.k wapole sana
 
Back
Top Bottom