Tatizo Watanzania wamezoea kuwachezea POLISI wetu kutokana na upole na ustaarabu wao.

Kupe, kadudu kasumbufu kenye tabia ya kushiba pasipozalisha!
Hakika ulichagua jina sahihi kwa matendo yako ila kuna uwezekano hata hili jina wamekuchagulia waliokupangia kufanya kazi hii na kwa kuwa hujui wajibu wa jeshi la polisi sitopoteza muda wangu kukujibu zaidi ya kukuelimisha kuwa Jeshi la polisi liliundwa kwa minajili ya kuhakikisha USALAMA wa raia na mali zao, je kuuwa raia kumeainishwa wapi kama lengo la kuundwa kwa jeshi hili.
Kama ulisoma udsm nina shaka na shahada yako au ndo zile ndugu yetu DC wa Korogwe Bw Mrisho Gambo anaziita digrii za chupi?
 
Majuto ameshtuka mapema, huyu kupe inawezekana ni jamaa mmoja muuza ugoro tu, sasa stori za kijiwe chake cha ugoro analeta huku kwa great thinkers!
 
i wish wa Tanzania wangeona kazi ya (ukatili) wa POLISI wa KENYA au SOUTH AFRICA . wangewaheshimu sana Polisi wetu na kusingetokea haya yanayotokea . katika hizo nchi polisi hana muda hata kidogo wa kubishana na raia . Tanzania raha sana hadi polisi anakubembeleza . unamsomesha anakuelewa . nimeshuhudia mwenyewe kwa macho yangu polisi wanazomewa chuo kikuu mlimani UDSM tena wamevaa uniform na wapo kikazi .

Mkuu nakubaliana na wewe. Nimekuwa nikijiuliza, DM alikuwa na courage gani awafuate wale askari huku akiwa hana vazi linalomtambulisha kuwa yeye ni jourmalist zaidi ya camera ambayo any body can hold? Kwa wenye akili tulivu, hili tukio ni zaidi ya tulionavyo na kuli~perceive
 
polisi ana chombo cha moto anapokupa amri na ukakataa kutii unategemea nini . unataka akitumie hicho chombo cha moto ufe ili umlaumu au usumbue ndugu zako na wakupendao kukuzika . tafadhari watanzania tuzingatie sheria na tuheshimu jeshi la polisi kama tunavyoheshimu majeshi mengine. mfikishie mwenzako ujumbe huu . asiyetaka yatakayomkuta asije kulalamika hapa

Kenge kaa kimya usichafue hali ya hewa km hujaenda shule nenda sasa. wapi polisi wanaruhusiwa kuua mtu aliye chini ya ulinzi, tena mwandishi wa habari.
 
i wish wa Tanzania wangeona kazi ya (ukatili) wa POLISI wa KENYA au SOUTH AFRICA . wangewaheshimu sana Polisi wetu na kusingetokea haya yanayotokea . katika hizo nchi polisi hana muda hata kidogo wa kubishana na raia . Tanzania raha sana hadi polisi anakubembeleza . unamsomesha anakuelewa . nimeshuhudia mwenyewe kwa macho yangu polisi wanazomewa chuo kikuu mlimani UDSM tena wamevaa uniform na wapo kikazi .

Naamini wewe ni polisi, lkn stress za maisha haziishi kwa kuua binadamu wenzio, la muhimu waombe wanaokutumia wakuongezee maslahi kidogo vinginevyo itafikia hatua mtajiua wenyewe, kupewa ofa ya kutolipa sh 300 kwenye daladala haitoshi bali inawapunguzia heshima, km ni kushuka kwa heshima yenu inaanzia hapo maana makonda wanaiwata majina mengi km m**ti, j***za etc ACHENI KUTUMIKA KWA MAUAJI.
 
Tatizo ni baadhi ya akina Mama kukubali kuchezewa na Mibaba USELESS na mwisho wake wanatotoa Product ambazo ni tatizo kuanzia siku anazaliwa hadi anakufa.

Laiti wangelitumia DUREX, wapuuzi duniani wangelikuwa wachache.
Sikonge tusingeishia kuwa na watu kama kupe
 
Last edited by a moderator:
Wewe kupe si bure una lako jambo na ni gamba gumu,huwezi kushabikia kifo cha mtu asiye na hatia na akiwa kazini,hata kama alifanya kosa kuna sheria na si kuua kinyama hata kuku huchinjwa si vile kumbakisha nyama. hakuna cha kuficha magamba wanatoa amri kwa kujua CDM wanavyokubalika na jamii,wanajaribu kutumia polisi ionekane CDM wanafanya fujo,hawakuwa na silaha nguvu zile zote za nini? Ni wazi wametumwa na cku zenu zinahesabika muanze kuhama mmoja baada ya mwingine,freedom is coming
 
i wish wa Tanzania wangeona kazi ya (ukatili) wa POLISI wa KENYA au SOUTH AFRICA . wangewaheshimu sana Polisi wetu na kusingetokea haya yanayotokea . katika hizo nchi polisi hana muda hata kidogo wa kubishana na raia . Tanzania raha sana hadi polisi anakubembeleza . unamsomesha anakuelewa . nimeshuhudia mwenyewe kwa macho yangu polisi wanazomewa chuo kikuu mlimani UDSM tena wamevaa uniform na wapo kikazi .

Sawa afande kova..
 
polisi ana chombo cha moto anapokupa amri na ukakataa kutii unategemea nini . unataka akitumie hicho chombo cha moto ufe ili umlaumu au usumbue ndugu zako na wakupendao kukuzika . tafadhari watanzania tuzingatie sheria na tuheshimu jeshi la polisi kama tunavyoheshimu majeshi mengine. mfikishie mwenzako ujumbe huu . asiyetaka yatakayomkuta asije kulalamika hapa

kazi ya polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao. Sasa matumizi ya siraha za moto kumpiga unayepaswa kumlinda hiyo ndo akili gani?
 
i wish wa Tanzania wangeona kazi ya (ukatili) wa POLISI wa KENYA au SOUTH AFRICA . wangewaheshimu sana Polisi wetu na kusingetokea haya yanayotokea . katika hizo nchi polisi hana muda hata kidogo wa kubishana na raia . Tanzania raha sana hadi polisi anakubembeleza . unamsomesha anakuelewa . nimeshuhudia mwenyewe kwa macho yangu polisi wanazomewa chuo kikuu mlimani UDSM tena wamevaa uniform na wapo kikazi .

hapa nafikili wewe hujawafahamu vizuri police wetu wa Tanzania... police wetu walio wengi kaziyao kubwa ni kuwanyanyasa wa lalahoi na kuwalinda wale wanaoitwa mapapa ngulu. haya nahili la FFU watu kuuwawa kwenye mikutano ya chadema nalo unalionaje wewe kama mtazania au nawe ni FFU?
 
Kuna mtu mmoja amenielewa kama nilivyosema . Jeshi la Polisi linafuata na kuilinda katiba . Sheria ya nchi inasema unapohitaji kufanya maandamano au mkusanyiko basi omba kibali ili uongozi wa serikali eneo husika itambue na ikibidi itoe ulinzi. Umeomba kibali na umejibiwa subiri sensa ipite. Wewe hutaki unabishana na serikali yako. MKUSANYIKO WOWOTE AU MAANDANO ya aina yeyote. bila kibali ni uvunjaji wa sheria . Sasa polisi inafika eneo la tukio na kuomba mtawanyike nyie hamtaki inabidi polisi iwatawanye kwa kwa jinsi walivyofundishwa kwa mbinu zao. NCHI HII SIYO YA CHADEMA PEKE YAKE. hivi CCM ,CUF,TLP at the same day + time . Wakisema nao wakusanyike au waandamane itakuje?????
 
Police hulipwa kwa kodi zetu! Acha ufala wewe Mbwiga!

We acha kumshambulia mtoa thread ki *****! hayo ni maoni yake kama hukubaliani naye piga kimya na ujuha wako! kwani watumishi gani wa serikali hawalipwi kwa kidi za wananchi? ww unaambiwa tawnyikeni unakomaa mauaji yakitokea mnalaumu polisi tu,hamtazami chanzo! ww hujatulia rudi mirembe! tena na ww nenda kapambane nao basi mbona huendi!?
 
Kuna mtu mmoja amenielewa kama nilivyosema . Jeshi la Polisi linafuata na kuilinda katiba . Sheria ya nchi inasema unapohitaji kufanya maandamano au mkusanyiko basi omba kibali ili uongozi wa serikali eneo husika itambue na ikibidi itoe ulinzi. Umeomba kibali na umejibiwa subiri sensa ipite. Wewe hutaki unabishana na serikali yako. MKUSANYIKO WOWOTE AU MAANDANO ya aina yeyote. bila kibali ni uvunjaji wa sheria . Sasa polisi inafika eneo la tukio na kuomba mtawanyike nyie hamtaki inabidi polisi iwatawanye kwa kwa jinsi walivyofundishwa kwa mbinu zao. NCHI HII SIYO YA CHADEMA PEKE YAKE. hivi CCM ,CUF,TLP at the same day + time . Wakisema nao wakusanyike au waandamane itakuje?????

Kupe maneno yako ya kweli .. but sio muda muafaka ungesubiri kidogo hata arubaini ipite
 
Majuto ameshtuka mapema, huyu kupe inawezekana ni jamaa mmoja muuza ugoro tu, sasa stori za kijiwe chake cha ugoro analeta huku kwa great thinkers!

we nenda kule bana.hapa co kwa great thinkers n pa wapiga porojo na watu waliojaa ushabiki tu wa upande flan.cku zote km mtu unashindwa kulinganisha mambo mwishowe unaishia kupiga mayowe tu ugreat thinker uko wap.km ingewezekana tungekua tunapimwa akili ya uweledi wa mambo kabla ya kujoin hapa nadhan member wasingefika hata 10000.
 
Wewe acha ujinga wewe Polisi hayuko juu ya sheria mama yaani katiba wala juu ya wananchi mara ngapi polisi wa South Africa na Kenya wameshikishwa adabu na wananchi au ndio unataka wananchi wa Tanzania wawafanyie Polisi hivyo washukuru watanzania wana siha ya upole na upendo wangekuwa kenya au South Afrika wote including IGP wangetenguliwa viuno hawa
 
alitaka tu tujue ameishi /amepita kenya na SA HILO tu hongera sana mkuu kwakuzamia
 
sikia Kupe,
Kenya na SA.... ni nchi zenye kupitia Ubaguzi katika historia zao, either wa rangi au kikabila/ kikanda. kwahiyo nch hizo utawala wake katika kutumia nguvu ni tofauti na Tz.
Hoja ni kwamba kwa nini Wananchi wanakusanyika pasipo kuwa na kibari na je wanategemea nini..?
Pia jiulize ni nguvu gani inatumika kwa kukabiliana na majambazi na hile ya Waandamanaji.
kudhibiti uhalifi si Nyenzo ni pamoja na akili na maarifa pasipo kuvunja amani.
Take it 4 consideration.
 
i wish wa Tanzania wangeona kazi ya (ukatili) wa POLISI wa KENYA au SOUTH AFRICA . wangewaheshimu sana Polisi wetu na kusingetokea haya yanayotokea . katika hizo nchi polisi hana muda hata kidogo wa kubishana na raia . Tanzania raha sana hadi polisi anakubembeleza . unamsomesha anakuelewa . nimeshuhudia mwenyewe kwa macho yangu polisi wanazomewa chuo kikuu mlimani UDSM tena wamevaa uniform na wapo kikazi .

Ndo maana nyie vichwa maji tunawaambia kila siku kuwa baba wa taifa mwl Nyerere (siwezi kuweka initial zake za JK zilizo najisiwa) alilijenga taifa hili katika misingi ambayo ni ya kipekee sana Afrika, tembelea nchi zilizostaarabika kama UK uone jinsi polisi wanavyoheshimiana na raia.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom