Tatizo sugu la mdomo kuwa na ladha ya uchungu huu mwaka wa pili

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Nisaidien jamani nina tatizo la muda mrefu la mdomo kuwa na radha ya uchungu huku viungo vya mwili vikiuma nimejaribu kutumia dawa mbalimbali za typhoid, maralia, vidonda vya tumbo lakini hali hii bado inaendelea mpaka nmekata tamaa nimezunguka hospitali nyingi lkn tatizo halionekan sijui Nina tatizo gan na sijui nitumie dawa gan ili nirudi katika hali yangu ya zamani.Wataalam msaada tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia kipato chako ,maana hizo ni stress za kukosa pesa , mlo kamili
#over

It is never to late to begin. Start now
 
Back
Top Bottom