Tatizo sugu la foleni Nairobi kuwa historia

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
4,917
2,452
Wakati wenzetu wa Kenya wanatarajia kuzindua barabara mpya yaani flyovers mwishoni mwa mwaka huu na itakuwa ndio mwisho wa foleni ya magari jijini Nairobi sisi hapa Dar tunapigania kujenga barabara zisizorasmi yaani (feeder roads) ili kumaliza tatizo la msangamano wa magari .Nadiriki kusema ya kuwa ni lazima tujiulize inakuaje wenzetu wanaweza sisi tunashindwa?
 
"TUMETHUBUTU
TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE"

Kauli mbiu uchwara kama hizi ndo zilizotufikisha hapa tulipo na bila CCM, kuitoa madarakani expect NOT any changes.
 
Tatizo la misongamano mjini halitatuliwi na siasa, hicho kitu ndio wengi wetu hatutambui.
 
wakati wenzetu wa kenya wanatarajia kuzindua barabara mpya yaani flyovers mwishoni mwa mwaka huu na itakuwa ndio mwisho wa foleni ya magari jijini nairobi sisi hapa dar tunapigania kujenga barabara zisizorasmi yaani (feeder roads) ili kumaliza tatizo la msangamano wa magari .nadiriki kusema ya kuwa ni lazima tujiulize inakuaje wenzetu wanaweza sisi tunashindwa?

muulize masaburi atakuwaeleza jinsi viongozi wengi wa tanzania wanafikiria. Baada ya majibu yake utajua kwa nini kila kitu tanzania hakiendi.
 
Wakati wenzetu wa Kenya wanatarajia kuzindua barabara mpya yaani flyovers mwishoni mwa mwaka huu na itakuwa ndio mwisho wa foleni ya magari jijini Nairobi sisi hapa Dar tunapigania kujenga barabara zisizorasmi yaani (feeder roads) ili kumaliza tatizo la msangamano wa magari .Nadiriki kusema ya kuwa ni lazima tujiulize inakuaje wenzetu wanaweza sisi tunashindwa?
Ukumbuke hawa maamjaa hawapewi misaada
Kwa muda na rasilimali zao sio nyingi kama
Zetu HONGERA KWAO
 
wakuu nairobi sio dar.mwingereza alijenga kwa mipango.dar imejengwa bila mipango.unapo compare city hizo mbili unakuwa hujafanya haki yeyote.
 
Hiyo flyover iko nairobi nzima?! Na aliyekwambia ndo suluhisho la foleni nani?! Ukiwa unakwenda Kawangware, airport, ngong nk inakuwa imekusaidiat nini hy flyover? Hao watu wa westland nk ndo msaada pekee
 
Wakati wenzetu wa Kenya wanatarajia kuzindua barabara mpya yaani flyovers mwishoni mwa mwaka huu na itakuwa ndio mwisho wa foleni ya magari jijini Nairobi sisi hapa Dar tunapigania kujenga barabara zisizorasmi yaani (feeder roads) ili kumaliza tatizo la msangamano wa magari .Nadiriki kusema ya kuwa ni lazima tujiulize inakuaje wenzetu wanaweza sisi tunashindwa?

Nani amekudaganyana flyover moja mbili zinamaliza foleni? eti tatizo la foleni kuwa historia teh teh teh eth
 
Wakati wenzetu wa Kenya wanatarajia kuzindua barabara mpya yaani flyovers mwishoni mwa mwaka huu na itakuwa ndio mwisho wa foleni ya magari jijini Nairobi sisi hapa Dar tunapigania kujenga barabara zisizorasmi yaani (feeder roads) ili kumaliza tatizo la msangamano wa magari .Nadiriki kusema ya kuwa ni lazima tujiulize inakuaje wenzetu wanaweza sisi tunashindwa?

Usiwafuatilie sana jamaa wa Kenya, kumbuka mwakani kuna uchaguzi.
 
Hebu rudia kusoma ID yako
mkuu ID ni identity card sasa mimi ID ni achahasira wewe imekuwaje tena umeanza kuuliza ID na kutoka nje ya swali langu,nimedanganya nini?
alafu cha kushangaza unasema nimedanganya alafu wewe unakaa kimya bila kutoa hoja,sasa kama nimedanganya toa pointi zako hapa ili tujuwe nani mkweli.
 
1.flyover ndio hiyo itazinduriwa.
2.internationa airport near KIA is to build within two years(sisi songwe kama sikosei tuna-approach 10 years)
3. The new city called TATU CITY is to be build within 10 years(na kazi imesha anza(hapa nahofu huu mji unaweza kua EAC TRADING CENTER))
ngoja sii tuendelee kuimba single mpya
"TUMETHUBUTU
TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE"
 
"TUMETHUBUTU
TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE"

Kauli mbiu uchwara kama hizi ndo zilizotufikisha hapa tulipo na bila CCM, kuitoa madarakani expect NOT any changes.

Nimependa hako kambuyu ka stendi ya magereza. Nasikia imeshindikana kuuong'oa huu mbuyu. Hahahahaaaa, nimekumbuka lile kaburi la pale iringa, mweeeeeeeeee! waswahili kwa imani za kichawi, ndio zeeeeeeeeeeetuuuu!
 
Wakuu sisi hatuko serious,jamaa inapokuja kwenye issue za maendeleo politics wanaweka aside!!! Saivi wanajenga THIKA ROADS kwa kiwango cha flying overs, pia wanapanua barabara ya kutoka mombasa mpaka juba sudan ya kusin, sisi tunakalia porojo za akina magufuli wanavaa suti na mashati ya kijani huko Igunga!!!!
 
Pia ukiangalia barabara zote zinazokwenda boda zimetiwa lami,ukianzia Namanga kwa upande wao,boda ya horohoro kwa upande wa kenya kuna lami,boda ya MALABA,busia na jingine zote zina lami sisi tunasubir misaada y MCC,SHAME ON US
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom