Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,792
Hivi punde kuna habari zimeenea kuwa mtandao unasumbua ndio maana miamala haijasoma.... Amesikika mwajiriwa mmoja akimwambia mwenzake kwenye simuHazina bhana.
Watumishi wa umma tunateseka na kuyumbishwa sana.
Mwanzoni kabisa ilikuwaga mshahara ni kati ya tarehe 29 -30. Tulizoea tukaridhika.
Baadae wakaboresha ikawa tarehe 25 lazima kitu isome.
Wakaboresha zaidi ikawa kila tarehe 22 lazima mshahara uingie. Mazoea haya ni ya muda mrefu.Na ni kwa watumishi wote wa umma.
Haya sasa :
Leo ni May 23 bilabila mpaka mchana huu wa saa 8 na robo. Kulikoni ?
Msimamo wenu uko wapi ?
Shida sana.