Tatizo sio oil!!! Tatizo ni Engine

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
7,011
13,639
Kwa kadri ya uelewa wangu mtendaji mkuu wa wizara ni Katibu Mkuu. Waziri ni 'Political figure' tu. Kwahiyo kufeli kwa Meya ni kufeli kwa watendaji na viongozi wote, kuanzia Waziri, Katibu mkuu hadi Wakurugenzi. Lakini anayefeli zaidi ni Katibu Mkuu kwa sababu yeye ndiye mtendaji mkuu. Yeye ndio injini ya wizara.

Jana Rais Magufuli alisema wizara ya Viwabda na Biadhara imeshindwa kutafuta soko la korosho tani laki mbili zilizonunuliwa na serikali kutoka kwa wakulima. Rais akasema hilo "liwizara" limepoteza sifa ya kuitwavizara ya viwanda na biashara kama imeshindwa hata kufanya biashara ya korosho. Akasema liwizara limebaki kupeoetusha bendera tu.

Kwa msingi wa collective responsibility aliyefeli hapa ni Waziri, Naibu Waziri, Katibu Mkuu, Naibu Katibu mkuu, Wakurugenzi na watendaji wote wa wizara. Lakini aliyefeli zaidi ni Katibu Mkuu wa wizara ambaye ndiye mtendaji mkuu.

Jana Rais Magufuli amemfurusha Waziri Joseph Kakunda. Nilitegemea afanye hivyo pia kwa Naibu Waziri, Katibu mkuu na Senior officers wengine. Lakini contrary to the expectations amemteua Katibu mkuu wa wizara hiyo kuwa Kamishna Mkuu wa TRA. Inawezekanaje wazembe wawili mmoja anafurushwa na mwingine anakua promoted?
 
Mwambie arudie zoezi upya
 
Yaani kila siku tunawaambia huyo jiwe wenu ,hajui anapotoka , alipo wala anapoenda ,miezi miwili Waziri anaweza kufanya nini?Naonawakati anawatumbue zilikuwa bado zipo kichwani .
 
Back
Top Bottom