OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,118
- 24,046
Tiyari ushasema kuwa ni wavumbuzi, hata hapa bongo wavumbuzi ni wengi tu ..mfano yule jamaa aliyetengeneza ndege, kuna yule aliyetengeneza risasi ..wote hao ni wavumbuzi lakin leo wako wapi? Je wame endelezwa? So tatizo sio kuvumbua tatizo lipo kwa uendelezaji wa huo uvumbuzi. Hao akina Isaac Newton na wengineo walivumbua ila vilikuja endelezwa badae na ndo leo tunaona matunda yake.Vipi wale wa mwanzo kabisa wavumbuzi ambao hawakuwa na sehemu ya Kuigilizia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app