Tatizo sio ajira, tatizo ni mitizamo ya vijana: Haya fursa ya kipato hiyo

rasachri

Senior Member
Apr 8, 2011
145
35
Kampuni yetu ya Kimomwe Motors Tanzania Limited, inatoa fursa kwa watanzania wote kutumia nafasi ya huduma zetu kujiongezea kipato.

Iwapo utasikia mtu anahitaji gari au ukimshawishi mtu aagize gari kupitia sisi ni kwamba bila maelezo mengi utapata 100,000 mara tu anapokamilisha malipo, vijana changamkeni fursa za kazi zipo tena kwa kipato kisicho na ukomo kama hiki.

Faida ni kwamba, uhakika wa biashara kwa sasa ni mkubwa maana watu wengi wameshafaham kuhusu kampuni hii, tumehudumia taasisi kadhaa na watu binafsi hivyo inakupa nafasi nzuri kua na uhakika wa biashara, kwa atakayekua serious zaidi atapata nafasi ya mafunzo ya ndani kuhusu huduma zetu na namna ya kufanya mauzo.

Mteja wako hatumchaji chochoye na gharama ziko wazi kabisa, yaani mteja atashuhudia moja kwa moja ushuru kutoka database ya TRA, Bei ya gari Japan iko wazi na gharama za bandari zipo wazi hivyo hakuna gharama ya ziada yoyote, hiyo 100,000 tunakulipa kutoka kwenye punguzo tunalopewa na kampuni za kijapan ambazo ziko zaidi ya 12 (hapa nazungumzia Beforward, SBT, Tradecarview, Real Motors, Enhance Auto n.k

Kazi yako ni kumuelekeza au kumleta Ofisini kwetu. Akishalipia tunampatia mkataba wa kubeba dhamana ya pesa yake mpaka tunamkabidhi chombo chake kikiwa kimetimia.

Kwa maelezo zaidi piga 0746267740 au fika ofisini kwetu Magomeni Mapipa Mkabala na Kituo cha mwendo kasi.
 
Eti kuuza magari! White collar job! Hizo zama zimeisha fanya kazi za kuzalisha! Eti umekaa ofisini unasubiri mtu akuletee hela mumusaidie kuagiza gari? Mxuuuuu$@%@%#
 
na tat
Kampuni yetu ya Kimomwe Motors Tanzania Limited, inatoa fursa kwa watanzania wote kutumia nafasi ya huduma zetu kujiongezea kipato.

Iwapo utasikia mtu anahitaji gari au ukimshawishi mtu aagize gari kupitia sisi ni kwamba bila maelezo mengi utapata 100,000 mara tu anapokamilisha malipo, vijana changamkeni fursa za kazi zipo tena kwa kipato kisicho na ukomo kama hiki.

Faida ni kwamba, uhakika wa biashara kwa sasa ni mkubwa maana watu wengi wameshafaham kuhusu kampuni hii, tumehudumia taasisi kadhaa na watu binafsi hivyo inakupa nafasi nzuri kua na uhakika wa biashara, kwa atakayekua serious zaidi atapata nafasi ya mafunzo ya ndani kuhusu huduma zetu na namna ya kufanya mauzo.

Mteja wako hatumchaji chochoye na gharama ziko wazi kabisa, yaani mteja atashuhudia moja kwa moja ushuru kutoka database ya TRA, Bei ya gari Japan iko wazi na gharama za bandari zipo wazi hivyo hakuna gharama ya ziada yoyote, hiyo 100,000 tunakulipa kutoka kwenye punguzo tunalopewa na kampuni za kijapan ambazo ziko zaidi ya 12 (hapa nazungumzia Beforward, SBT, Tradecarview, Real Motors, Enhance Auto n.k

Kazi yako ni kumuelekeza au kumleta Ofisini kwetu. Akishalipia tunampatia mkataba wa kubeba dhamana ya pesa yake mpaka tunamkabidhi chombo chake kikiwa kimetimia.

Kwa maelezo zaidi piga 0746267740 au fika ofisini kwetu Magomeni Mapipa Mkabala na Kituo cha mwendo kasi.
izo sio MITIZAMO tatizo ni MITAZAMO.
 
Huo ni udalali unapumbaza vijana, commission agent ni aina ya wizi 'softy thefty' uongo mwingi Na utapeli
 
Commision yenu itakua Juu sana kwasababu hata hiyo 100k ya kulipa madalali ipo ndani ya commission ila kimsingi sikuhizi wanaume wa mjini hawaogopi kutuma pesa bfaward labda wa huko kwingine.
 
Back
Top Bottom