Tatizo si rostam bali ccm kuishi nje ya pato lake halali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo si rostam bali ccm kuishi nje ya pato lake halali.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Feb 1, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Watu wengi wamekuwa wakimtuhumu sana Rostam Aziz kwa hujuma mbali mbali kwa nchi yetu. ukichunguza kwa undani, katika hujuma zote hizo zinazoelekezwa kwa R.A na CCM ina mkono wake humo. Inavyoelekea,wakati CCM inapokuwa na pengo la fedha inamtaka R.A kubuni mbinu ya kufidia pengo hilo; hapo ndipo na yeye hutumia fursa hiyo kujinufaisha binafsi. Mambo yakivuja yeye anakuwa na kinga madhubuti, kwasababu hawezi kuchukuliwa hatua bila ya siri kujulikana.
   
 2. o

  olng'ojine Senior Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umenena ndugu yangu...niliposoma kwenye the east african jana..kwenye ile power of attonery aliyopewa RA na dowans,na kwamba eti sheria ilibidi ipindishwe only kwa sababu RA ni very powerful politician, nikajiuliza...can that be the only reason? kwa mwenye akili moja kwa moja ataelewa kuwa kuna hoja kubwa zaidi ya hiyo. Na it can only be RA ana operate kwa kivuli cha "CCM". Siri au kwa lugha nyingine turufu anayo yeye. Dawa tuingine mtaani.
   
 3. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  He kwani ccm haina pesa? walishatafuna zile za kagoda agriculture, meremeta na sasa wanataka za dowans? Zote hizo hazikuwatosha, vp mahekalu wanayojenga hayajaisha?
   
 4. T

  Tata JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Umenena kweli tatizo la ufisadi wa nchi hii haliwezi kuelezewa kwa kumnyooshea vidole Rostam Aziz peke yake. Rostam kama mtu binafsi na na hata kwa ubunge wake hawezi kufanya haya anayodaiwa kuyafanya bila ya kuwa na mkono mkubwa nyuma yake ambao ndio hasa kiini cha matatizo yetu. Kinachotakiwa kwa sasa ni kufanya juhudi zaidi kujua ni kina nani hao waliopo nyuma ya Rostam.
   
 5. chobu

  chobu JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ina maana CCM bila Rostam hatuwezi kuishi?
   
 6. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Wote ndani ya CCM wanajua linapokuja suala la pesa, CCM ni Rostam na Rostam ni CCM, yaani huwezi watenganisha kama vile mzizi na ardhi!
   
 7. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wana TV wote na wanaangalia Tunisia na Misri, mwenye macho na aone.
   
Loading...