Tatizo si posho, Tatizo ni wakwepa kodi wakubwa na taifa kutonufaika na rasilimali zetu (Zitto)

Suala hapa ni kuwa keki yetu ni ndogo. Kwa sasa ni kwa nini nwachache wapate pande kubwa huku wengine hwajui hata siku itaisha vipi?
 
Suala hapa ni kuwa keki yetu ni ndogo. Kwa sasa ni kwa nini nwachache wapate pande kubwa huku wengine hwajui hata siku itaisha vipi?
nimetambua kwa wazo la keki ndogo lakini tambua taifa letu si nchi yenye keki ndogo kwani tuna rasilimali nyingi , hivyo ni taifa lenye keki kubwa hivyo tugawane vipande vikubwa vikubwa
 
Mimi naona hawa viongozi hawako serious kabis. Daktare anakaa zamu a.k.a call usiku kucha analipwa elfu kumi tu! Halafu kalio moja la mbunge tena form four failure au wa darasa la sabalinaingiza laki moja kwa hiyo makalio mawili ni laki mbili na kakaa hata masaa nane hafikishi. Tatizo ni kuzingatia siasa na kuacha professions zikiwa nyuma, ndo maana hata naprofessor woote wanataka kuwa wanasiasa! Ingelikuwa kama nchi za uingereza ambako siasa ni heshima tu na siyo mshiko, haki ya nani wangeenda wachache sana!.
 
Zitto anatafuta tu umaarufu sidhani kama anamini.anachokiongea

utake usitake zitto ni jembe,na anaweza kuwa kiongozi wa nafas yeyote.jamaa anamawazo mbadala na anaamini ktk utaifa zaidi.km wewe au baba yako munanufaika na posho basi lazima ujue kuna wenzako wanateseka kwa posho zenu.
 
Back
Top Bottom