Jagermaster
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 654
- 316
Katika mchanganuo wako zingatia haya:-
Nimesema wanakaririshwa na siyo kukuza uelewa wao. hii ni hata katika tasnia unayojaribu kusema [coordination-uratibu] mwisho wake wanaishia kuwa wana nadharia
Mlinganisho ninaozungumzia ni ule wa similar level of award [i.e chukua aliyemaliza digrii ya sheria mlimani na course ile ile pale mzumbe]
Bado utakuwa haiko sahihi kumtetea JK au Pinda kutokana na kwamba mtu aliye-elimishwa kwa kukaririshwa hawezi kusahau basics tofauti na mtu aliyekaririshwa. Hii nadharia huenda ikawa ngumu kuielewa mpaka ukikutana na watu wa aina hiyo wakifanya kazi katika eneo moja. you will see the difference between he who thinks and he who claims!!
Tofautisha kazi ambazo zinatumia utashi wa siasa na agenda ambayo inatekelezwa chama na kazi zinazofuata utalaam wa mtu. Pinda na wengine wanafwata matakwa ya CCM, na inafika wakati elimu zao wanaweka pembeni.Ukumbuke Pinda hafanyi kazi za Sheria pale CCM anafanya kazi za Kisiasa.So akifanya madudu zilalamikie sera na agenda za CCM wala sio elimu yake. Kumbuka elimu inaweza kutumika vizuri au vibaya, hata kuweza kudanganya mpaka watu wenye akili zao wakakuamini ni utalaam.