good ndugu hapo umenena tukopamojaKauli yako ina mapungufu ya aina mbili; kwanza ina mtizamo mgando. Ubora wa wahitimu katika miaka zaidi ya arobaini ya uhai wa chuo hicho, umekuwa ukihitirafiana siyo tu kwa fani moja na fani nyingine, lakini pia kwa mwaka hadi mwaka. Pili, kimsingi inalinganisha vitu viwili vilivyo tofauti. Katika hali halisi, wahitimu wa vyuo vya DIT na Mzumbe tangu mwanzo ilikusudiwa wawe watendaji (technitians), wakati wale wa mlimani walitegemewa wawe waratibu (coordinators). Ni kutokana na sababu hiyo, ndiyo maana baada ya kuhitimu DIT na Mzumbe walikuwa wanapewa diploma na mlimani digree. Tofauti kati ya diploma na digree, ni kwamba mtu wa diploma anazama zaidi katika eneo dogo, wakati mtu wa digree anafundishwa kwa lengo la kuwa na uelewa kwa maeneo mengi, ili aweze kuratibu kazi za wengine. Watu wengi huwa wanapotosha ukweli kwamba mtu anaweza akawa mwana taaluma tu kwa kujifunza darasani. Hii si kweli, ndiyo maana si sahihi hata kidogo kumwita JK mchumi au Pinda mwanasheria, kwasababu waheshimiwa hawa tangu wahitimu wamekuwa wakifanya mambo tofauti na fani zao.
Juzi nilikuwa nasoma CV ya Dr. Sally Kosgey, Waziri wa viwanda wa Kenya, nikashangaa kuona amesoma UDSM, nilipofuatilia nikagundua kuna wanasiasa na viongozi wengi wa Kenya wamesoma UDSM akiwemo AG Amos Wako, Bado mtasema UDSM ni ya Vilaza, UDSM ni chuo Bora Africka Mashariki, wapende wasipende!
hapo ndugu umeenda isivyo naomba uangalie elimu ya SUA kama unabishi mpeleke mdogo wako au akasome MSc. au PhD uone mzikwake usichukulie vyuo UDSM ndio wako juu sana tunafanya nao kazi tunawaona majority hawana lolote ni jina tuKatika hili hakuna ubishi kwamba wanaoshindwa kupata nafasi mlimani ndio wanaenda kwenye hivyo vyuo vingine (the peripherals) ambako hata walimu wao ni vilaza, wenye PhD za ku-forge na wengine wanaokotezwa mtaani. Pia wahitimu wengi wa UDSM (na ambao hawawezi kupata Lectureship UDSM kwa kuwa na GPA ndogo) ndio wanakuwa lecturers wa Mzumbe, DIT na kwingineko. Hii sio issue ya kuijadili kabisa kwasababu iko obvious ila hata kwenye best universities (e.g UDSM kwa Tanzania) lazima wawepo vilaza lakini vilaza hao hao ukiwapeleka Mzumbe, DIT, Tumaini wanakuwa vipanga! Kwahiyo tatizo sio chuo alichosoma bali ni Kikwete mwenyewe. Kumbuka pia sio wote waliosoma wameelimika na wako wengi wa aina hiyo regardless chuo anachosoma mtu!!
safi sanaaaaaaaaaaaaaaaa! elimu ya darasani huongeza maarifa lakini akili ya kuzaliwa hubakia muhimu zaidi.Jamani jamani jamani hii mada tuwachie TCU ndio wenye dhamana ya elimu ya juu na mara zote kila muwamba ngoma kamba huvutia kwake,SAUT watsema wao ndo bora,na SUA watasema wao ndo bora ila ukweli ni kwamba usomi na utendaji ni vitu viwili tofauti.
hapo ndugu umeenda isivyo naomba uangalie elimu ya SUA kama unabishi mpeleke mdogo wako au akasome MSc. au PhD uone mzikwake usichukulie vyuo UDSM ndio wako juu sana tunafanya nao kazi tunawaona majority hawana lolote ni jina tu
udsm wamewahi kuvumbua nini?
Ukweli ni kwamba wahitimu wengi wa Chuo kikuu cha Dar es salaam ni vilaza/wababaishaji [Si kikwete tu!]. Hii inatokana na jinsi wanavyofundishwa [wanakaririshwa na si kueleweshwa] watu wa aina hiyo huishia kuwa wenye nadharia nyingi kuliko utendaji. Mwisho wa safari huwa walalamishi wazuri sana. Chanzo kikuu cha kutoa vilaza ni kwamba Walimu/professors wa mlimani wamejaa wivu na husda!!!
Mwanafunzi aliyehitimu Mzumbe au DIT ni bora kuliko mhitimu wa Mlimani!! POLENI SANA WAHITIMU WA MLIMANI!!
Ni kweli kabisa watu waliosoma mlimani ni vilaza wa kutupwa na ndo viongozi wetu wengi sana wamepita hapo na angalia nchi walipoifikisha.