Tatizo "Plate number"

Mangaline

JF-Expert Member
May 19, 2012
1,045
221
Ndugu zangu, wana jamii wenzangu, naombeni msaada. Nimepata gari, na nimeipenda kwa kila hali, tangu aina, muundo, rangi yake hadi bei. Tatizo pekee ni namba yake, ambayo ni CDM, na hii ndiyo kikwazo kwangu. naombeni msaada.
 
Kazi ndogo,ondoa hiyo plate number, gari itembee bila plate number
 
Mbona ize. Ng'oa, lipa mil 5 pata custom number plate with your cat's name
 
Nunua gari tu, namba ziache, mwambie mwenye gari wewe hutaki namba zake ili akupunguzie bei.
 
Wambie wakupe GAY namba hizi hawalipii ni bure, something like T 650 GAY
 
Wewe hujui kuwa zipo plate number ambazo unaweza kuandika jina lako? Ng'oa iliyopo kisha nenda na mil 5 wakuwekee hiyo unayotaka wewe.
 
Jamani hivi Plate number au ni Number Plate? Nimeupenda ushauri wa kuandika GAY! Hii kwa kweli itakufaa!
 
Achana na gari lililosajiliwa, nunua gari lenye sifa kama hizo na usajili jinsi unavyotaka.
 
daaha!! JF inaondoa stress. Yaani wakati mwengine nii zaidi ya movie na muziki
 
Nashukuru sana wana jf kwa maoni yenu mazuri, yote nimeyachukua, na nayafanyia kazi, ingawa sijui lipi litafaa zaidi.
 
Back
Top Bottom