arnolds
Senior Member
- Oct 10, 2009
- 105
- 57
wana JF nawasalimu ktk jina la Allah! Nahitaji mchango wenu katika hili, hivi suala la wanaume kuwa na maneno matamu au ushawishi mkubwa ni kigezo tosha cha kuwafanya dada zetu wasiwe strong kwenye kufanya maamuzi? Mimi sidhani kama utakuwa na akili timamu kama utafanya uamuzi Fulani eti kisa jamaa kakushawishi au kangangania kupita kiasi!! Nawaomba dada zangu mtumie akili kidogo kuwakabili hao makakaz!
don take it personal, ni mtazamo tu!!
don take it personal, ni mtazamo tu!!