Tatizo ni Tv au External hard drive? Ninaomba msaada wa kitaalam wakuu.

May 20, 2015
74
44
Nikiconnect External hard drive ya laptop iliyo katika externala case kwenda kwenye Philips FHD smart tv kupitia usb port TV yangu inaplay media zilizopo kwenye drive then bahada kama ya dakika 5 inazima na kuwaka.
Ila Nikiweka flash drives wala hazisumbui.
Sijui tatizo linaweza kuwa nini nini?
 
Back
Top Bottom