Tatizo ni nini unapogundua mpenzi wako anakusaliti na ukimuacha hataki?

Kwanza kabisa nimekutoa kwenye list ya Alpha male.

Inaonekana wazi ww na huyoo manzi maisha yako ndo yenye dhamani zaidi kuliko huyo mwanamke. Kwanza agr yako bado ni kijana mdogoo ambaye kwa umrii huo unabidi ukomae na kupambana zaidi katika kusaka pesaaa kuliko kulilia mapenzi. Hiv huoni hata aibu unavyo kazana kulilia mwanamke ambaye kwanza anaonekana wazi yeye mwenyewe ajitambui na licha ya hvyoo humwamini, then dear brother what's are you waiting there.....?

Fanya mamuzi kama mwanaume kwa umri wako saiv unavaa uweke nguvu zako kweny kusaka pesaa na pia mtangulize mungu mbele habari za huyo mwanamke ambaye kashazalishwa huko achana naye mapema maan am sure hapo na yy ashajua wazi ww ni boya lake na kwake huwezi chomoka kbisaa.

Vunja line sajili nyingine then focus na kutafuta pesa mda mwafaka wa ww kupata mwanamke bora ukifika mbona watajisogeza tu na ww utachagua unaye mtaka mzeeh baba
Dhamani

Thamani

Ulijifunza wapi maneno ya kiswahili wewe ndezi.....?!
 
Dah watu kwel tumetofautian hiv unampendaje mtu hivo
Sijawah kuw boya kiasi hicho
Saiz han hamu n ww huko kwenye ndoa sihata taman hata kukuona,
Vijana ebu acheni ufala na uboya ,
 
Sizani ata kama uyo dem ni mzuri ..sema ndo ivyo tena ka moyo



PIGA CHINI KABLA UJA PIGWA CHINI
Shetani kwani una miaka mingapi? upige chini kabla hujapigwa? , unaogopa nini? bila shaka unaogopa kuachwa! ukiongezea na aibu ndo kabisaaa waweza jifia wewe!! unapiga mtu chini wakati bado unampenda? u taumia na maumivu yake si ya nchi hii!!! UTakoma sana!!

Anae achaga mupenzi wake wa longi time kwa kuwa mapenzi hayana nafasi tena,, hana makeke!! kila kitu kwake ikiwa ni pamoja na hatua unazo chukua ni sawa tu!!! umtupie vitu vyake nje ni sawa tu kwake, umnyime unyumba ni poa tu, Uoe/ uolewe mbele yake ni furaha tuu!! tena aweza hudhuria.

Achana na mtu ambaye hakutaki tena, wakati wewe bado unamtaka, utahangaika sana maumivu yake si ya Dunia hii hata ukimuacha bado roho inadunda unakonda.

Cha kufanya' andaa Moyo wako kupokea matokeo km ifutavyo!

1. Kubali kwa dhati kuwa huyu mupenzi ndo baasi tena, hata kaa na mimi kwa vyovyote vile.

1. halafu Uwe mpole km Hua.

2. Jua kabisa hutakiwi tena.

3. Zidisha mapenzi mara dufu, akaange misosi mizuri zaidi wakaribishe mashoga zake wafurahie huduma yako na umkubalie yeye afanye anavo taka machoni pao! mpe mabusu moto moto!! akiwa bado ako na wewe!! hii haitakupunguzia kitu!!

4.Onyesha bado unampenda una muhitaji sana ili awe na kiburi cha mapenzi zaidi na maradufu. jifanye huoni michepuko yake!! usimkemee wala kumpiga wala kununa, jifanye Bwege kwa muda hii hali itakulipa mbele ya safari zako,

kosa; sasa ukimkemea na kumsema hovyo tu na kama ukifanya hivi ! unamfundisha na kumfungua akili ya kujua makosa yake na jinsi ya kuishi vizuri mbele ya safari na wanaume wengine.

kama hajui makosa yake atafanya hivo hivo huko mbele ya safari yake na wanaume wengine, maka alisha zoea tena huko ndiyo itakuwa mbaya sana kiasi cha kufukuzwa km jibwa, na atakukumbuka tu tena mara dufu kwa wema wako.

5. Hapa unaweka kitu moyoni mwake kitakacho muumiza sana huko mbele ya safari, hali itakuwa mbaya zaidi km watamkumbusha mashoga zake alivo kuwa free kukaangiza na good time, na shemeji zako hao! hapa waweza chagua moja yaani either ubaki hivo hivo ukaoe mbele ya safari au uchague mmoja kati ya wale mashoga zake!! pindi utakapo mtema!

6. Hapa unaandaa Moyo wako kuachwa mazima, kuliko pale mwanzo yaani unge shtukizwa, Asikudanganye Mtu bana weee!! kuachwa ghafla kunauma sana, Maumivu yake si ya Dunia hii, ndo maana watu wengine wanarogwa usiwalaumu walogaji ujue unapojiandaa kuachwa polepole! na kutafuta kumo ni humo humo! tena anakuletea yeye mwenyewe!! mzee mzima unachagua tu!!!

Mwanaume akiwa mtu wa Totoz haaaa! km unamsukuma mlevi tu! ndo kwanza anakupa mpaka mtaji uende salama, ili umpe nafasi na ana kuahidi zikiisha rudi tena uchukue! Ndo imetoka mazimaaa! hata nyumba anaweza kukupa ukatombwe vizuri humo kazi kwako!!!
 
Yes huwa inatokea sana unajua kabisa manzi analiwa sehemu nyingine lakini huwezi kumuacha au unajua kabisa penzi limekufa lakini haupo tayari kumuacha nafikiri hapa ni suala la kubadili tu fikra!!futa namba yake ya simu,punguza kukutana na watu wake wa karibu in short tafuta mahusiano yako Malta.
Kilichopo hapo ni namna ya kubadili fikra juu yake na kumpotezea icho nimeshindwa najua ananisaliti lkn bado nampenda
 
Back
Top Bottom