Tatizo ni nini unapogundua mpenzi wako anakusaliti na ukimuacha hataki?

Wewe ni zezeta a.k.a nice boy nyie ndo wanawake wanawataka baada ya kugongwa weeeee wakiisha utamu basi wanajipumzisha kwa zezeta moja km wewe huku wanaendelea na umalaya taratibu taratibu....

Sisi wengine kitendo cha kuku chat tu za mwanaume mwingi ambazo hazieleweki tyr mahusiano yanavunjwa tunatongoza mzuri zaid, bora zaid ila loser km wewe hata ukiachana na huyo mwanamke utaenda wapi?kutongoza hujui!mwanamke gani atakukubali?baki hapo hapo ufe na ukimwi uanze kulia lia humu

Once a bitch ,a bitch.Simple
 
Mambo niaje wajuba wa JF

Of course mimi ni kijana wa age ya 25 nipo na manzi yangu namkubali namkubali kupitiliza lkn sasa yeye ni single maza. Tuna mwaka mmoja tu tangu tuingie kwenye mahusiano na lengo hasa ni kuoana lkn kadri siku zinavyozidi kwenda naona Mambo mengi Mara anachat na wahuni wasap na fb Mara anatuma picha zake kwa watu hawaeleweki lkn nampenda bado na namkubali namuonya na anaomba msamaha na ana ahidi kutorudia.

Juzi Kati nkamnasa akiwasiliana na muuni mmoja fb ikabidi ni give up na kumuacha lkn hakukubali alilalamika sana na hakukubali nimuache aliomba kila Aina ya msamaha na badae ikabid nirudishe moyo kwa vile pia tumezoeana. Simuamini kiufupi mpaka Sasa iv ninae lkn Sina Imani nae natamani ata abadilike tuendelee na maisha ya furaha lkn anaweza kukujibu short anavyotaka na Mambo yake akayafanya Siri Siri tu.

Mpaka hamu ya sex na Mimi Hana anadai hapati hamu ya kusex siku iz sijui Kama ni kweli au Kuna muuni anafanya yake yani naumia kiukwel Mana nampenda sana na hata ikifikia hatua ya kusema namuacha Sina raha nakosa amani kabsa na kiufupi sijaweza ata kumuacha. Nawaza sana juu ya mwanamke wangu nampenda sana lkn siku iz amebadilika uaminifu hamna tena nna mpango wa kumuoa lkn naona Kama hamna ndoa tena.

Ushauri wako ni muhimu pia Mana tunazidiana uzoefu katika mapenzi wengine wapo kwenye ndoa tusaidiane katika hili wadau.
Hustahili ushauri, inaelekea unapenda maumivu ya moyo, hongera kwa hilo. Demu anakupiga matukio kila kukicha na bado tu unaendekeza ujinga.
 
Wewe ni zezeta a.k.a nice boy nyie ndo wanawake wanawataka baada ya kugongwa weeeee wakiisha utamu basi wanajipumzisha kwa zezeta moja km wewe huku wanaendelea na umalaya taratibu taratibu....

Sisi wengine kitendo cha kuku chat tu za mwanaume mwingi ambazo hazieleweki tyr mahusiano yanavunjwa tunatongoza mzuri zaid, bora zaid ila loser km wewe hata ukiachana na huyo mwanamke utaenda wapi?kutongoza hujui!mwanamke gani atakukubali?baki hapo hapo ufe na ukimwi uanze kulia lia humu

Once a bitch ,a bitch.Simple
Sure kaka,me mwenyewe nilikuta chats tu za kimalaya na wahuni nimempiga chini kimya kimya japo nlikua nampenda sana na nlipanga mwakani nimuweke ndani
 
Kilichopo hapo ni namna ya kubadili fikra juu yake na kumpotezea icho nimeshindwa najua ananisaliti lkn bado nampenda
Hakuna njia zaidi ya kumpotezea usidhani moyo utakubali kirahisi
Utajijua mwenyewe kila mtu na maisha alochagua
 
Miaka 25 unaoa mwanamke mwenye mtoto wa mwenzako na hana uaminifu. Sasa hapo unataka ushauri gani. Jibu ni moja wewe hauna maisha uanataka huyo mwanamke akupe maisha. Sababu kama una maisha why iwe ngumu kufanya maisha....?!
 
Wewe ni zezeta a.k.a nice boy nyie ndo wanawake wanawataka baada ya kugongwa weeeee wakiisha utamu basi wanajipumzisha kwa zezeta moja km wewe huku wanaendelea na umalaya taratibu taratibu....

Sisi wengine kitendo cha kuku chat tu za mwanaume mwingi ambazo hazieleweki tyr mahusiano yanavunjwa tunatongoza mzuri zaid, bora zaid ila loser km wewe hata ukiachana na huyo mwanamke utaenda wapi?kutongoza hujui!mwanamke gani atakukubali?baki hapo hapo ufe na ukimwi uanze kulia lia humu

Once a bitch ,a bitch.Simple
Ohoo
 
duh we jamaa una matatizo nafikir imekuwaje mpk umeanzisha mausiano siriazi na single mama ok si mbaya maisha ni kuchagua
 
Mambo niaje wajuba wa JF

Of course mimi ni kijana wa age ya 25 nipo na manzi yangu namkubali namkubali kupitiliza lkn sasa yeye ni single maza. Tuna mwaka mmoja tu tangu tuingie kwenye mahusiano na lengo hasa ni kuoana lkn kadri siku zinavyozidi kwenda naona Mambo mengi Mara anachat na wahuni wasap na fb Mara anatuma picha zake kwa watu hawaeleweki lkn nampenda bado na namkubali namuonya na anaomba msamaha na ana ahidi kutorudia.

Juzi Kati nkamnasa akiwasiliana na muuni mmoja fb ikabidi ni give up na kumuacha lkn hakukubali alilalamika sana na hakukubali nimuache aliomba kila Aina ya msamaha na badae ikabid nirudishe moyo kwa vile pia tumezoeana. Simuamini kiufupi mpaka Sasa iv ninae lkn Sina Imani nae natamani ata abadilike tuendelee na maisha ya furaha lkn anaweza kukujibu short anavyotaka na Mambo yake akayafanya Siri Siri tu.

Mpaka hamu ya sex na Mimi Hana anadai hapati hamu ya kusex siku iz sijui Kama ni kweli au Kuna muuni anafanya yake yani naumia kiukwel Mana nampenda sana na hata ikifikia hatua ya kusema namuacha Sina raha nakosa amani kabsa na kiufupi sijaweza ata kumuacha. Nawaza sana juu ya mwanamke wangu nampenda sana lkn siku iz amebadilika uaminifu hamna tena nna mpango wa kumuoa lkn naona Kama hamna ndoa tena.

Ushauri wako ni muhimu pia Mana tunazidiana uzoefu katika mapenzi wengine wapo kwenye ndoa tusaidiane katika hili wadau.
Ushauri gani sasa tukupe wakati umeshasema "kuna muuni" anakuharibia?
 
Mbona majibu yote unayo,hakusilizi,anafanya mambo yake kisirisiri,anakutamkia kabisa kuwa hana hamu ya kutiana 'na wewe', sasa dogo unataka mpaka ukute kidume kinaning'inia kifuani au mgongoni kwake ndiyo ujue kuwa kuna ambaye ana hamu ya kutiana'naye'?
 
Hivi ukimwacha huwa unamwambia sikutaki tena?? fanya hivi we mkaushie tu, usipige simu usipokee simu zake, usitume sms wa ku reply zake,mkwepe kila akitaka kuonana na wewe jiweke busy... kama mwanamme lazima uwe na maamuzi usijifiche kwenye kivuli cha "namuonea huruma"
 
Don't be love slave ✊✊✊ make decision
Mambo niaje wajuba wa JF

Of course mimi ni kijana wa age ya 25 nipo na manzi yangu namkubali namkubali kupitiliza lkn sasa yeye ni single maza. Tuna mwaka mmoja tu tangu tuingie kwenye mahusiano na lengo hasa ni kuoana lkn kadri siku zinavyozidi kwenda naona Mambo mengi Mara anachat na wahuni wasap na fb Mara anatuma picha zake kwa watu hawaeleweki lkn nampenda bado na namkubali namuonya na anaomba msamaha na ana ahidi kutorudia.

Juzi Kati nkamnasa akiwasiliana na muuni mmoja fb ikabidi ni give up na kumuacha lkn hakukubali alilalamika sana na hakukubali nimuache aliomba kila Aina ya msamaha na badae ikabid nirudishe moyo kwa vile pia tumezoeana. Simuamini kiufupi mpaka Sasa iv ninae lkn Sina Imani nae natamani ata abadilike tuendelee na maisha ya furaha lkn anaweza kukujibu short anavyotaka na Mambo yake akayafanya Siri Siri tu.

Mpaka hamu ya sex na Mimi Hana anadai hapati hamu ya kusex siku iz sijui Kama ni kweli au Kuna muuni anafanya yake yani naumia kiukwel Mana nampenda sana na hata ikifikia hatua ya kusema namuacha Sina raha nakosa amani kabsa na kiufupi sijaweza ata kumuacha. Nawaza sana juu ya mwanamke wangu nampenda sana lkn siku iz amebadilika uaminifu hamna tena nna mpango wa kumuoa lkn naona Kama hamna ndoa tena.

Ushauri wako ni muhimu pia Mana tunazidiana uzoefu katika mapenzi wengine wapo kwenye ndoa tusaidiane katika hili wadau.
 
Hivi ukimwacha huwa unamwambia sikutaki tena?? fanya hivi we mkaushie tu, usipige simu usipokee simu zake, usitume sms wa ku reply zake,mkwepe kila akitaka kuonana na wewe jiweke busy... kama mwanamme lazima uwe na maamuzi usijifiche kwenye kivuli cha "namuonea huruma"
Asante sana kwa ushauri wako matata na huu ndio naanza nao. Asante sana
 
Kunguru hafugiki..

Niliwahi kua na demu kumbe bwana yule demu ana mtu wake hadi kwao anajulikana na alikua akijifanya mtu wa dini kweli..siku hiyo niko zangu kwenye mishe mishe napokea simu ya mtu nisiyemjua ndo jamaa ake anaongea kwa uchungu kakauta mawasiliano yetu kwa demu wake tukaongea nikamwambia poa baki na huyo demu.

Mimi nilichofanya nilivunga sikumchana wala nini demu ila mwenyewe alijishtukia akaanza kunisumbua nimsamehe mimi nikaza..kwa hasira yule demu akahamia kwa mshikaji wangu na anagonga mpaka leo na mbaya zaidi wakati nipo na yule demu ana rafiki yake akamkonekti na rafiki yangu so tukawa kama pacha mimi na jamaa angu tunakula mtu na besti yake.Tulipoachana hakujali hilo akahamia kwa rafiki yangu ina maana anamsaliti shoga yake na jamaa yake tayari ameshatoa mpaka mahari na lilivyo bwege watu wana gonga sana na linafuamania sana linabaki kulialia.MIMI NA RAFIKI YANGU TULO PISI KAMA KAWA HAKUNA MATATIZO MAANA TUNAJUA DEMU KICHAA JAMAA ANAJILIA TU

KWA HIYO BWANA MDOGO USILETE USHUJAA KWENYE MAPENZI HUYO AFUGIKI UTAPATA MATATIZO SHAURI YAKO
 
Back
Top Bottom