Tatizo ni nini katika hii picha?

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,948
709
Jamani, huyu mama hapa (aliyesimama) ni Consultant katika shirika la UNESCO. Atakuwa analipwa hela nzuri tu. Je kwa mtazamo wako, unaona tatizo gani katika hiyo picha? Toa maoni.

unesco.JPG
 
Amenunua viti vya CCM hihihiiiiii.........

"
"
"
"
"
"
KIKWAPA. Nyani Ngabu hebu kielezee......
 
KIKWAPA. Nyani Ngabu hebu kielezee......

Tatizo la kikwapa kwa Tanzania ni endemic!! Haijalishi mtu ana kipato gani na wala haijalishi mtu anafanya kazi/shughuli gani. Watu wengi kwa ujumla hawana utamaduni wa kupaka viondoa harufu ya kwapa (deodorant) hususan zile ambazo hukata ama kupunguza utokaji wa jasho kwapani (anti-perspirant deodorant). Kuna watu huko maofisini na shahada zao wananuka kwapa la kufa mtu. Akikupita tu hiyo harufu anayoacha lazima iharibu olfactory nerves/ glands zako maana ni kali vibaya mno.

Sasa kama kweli huyo mama kwenye hiyo picha ni mshauri wa UNESCO basi ni salama kusadiki ama kudhania kuwa analipwa malipo mazuri tu kwa viwango vya kibongo bongo. Sasa kinachomshinda kwenda kununua "antiperspirant deodorant" ni nini kama sio utamaduni mbovu wa kutojali harufu mbaya ya mwili na kikwapa?

Vilevile, nguo aliyovaa nayo si nzuri kama unataka kukwepa kikwapa kama hujapaka deodorant maana kwa juu imebana. Ingekuwa iko loose kidogo ingekuwa afadhali kidogo.
 
joto la Dar kama hakuna Air condition hata upake deodorant inaweza chemsha Ila inasaidia kwa kiwango fulani ukizingatia nguo yake imebana kwapa.
Pia sio jasho zote zinanuka kivile inategeneana na mtu pamoja na intake.
 
Joto kwenye gari, joto barabarani joto ndani ya office kungekuwa na AC labda ingesaidia. Pia wengine ndo wamezoea lakini si kila mtu wa TZ yuko hivyo kama NYANI NGABU alivyosema kutaka kutudharirisha wabongo wote
 
Jamani, huyu mama hapa (aliyesimama) ni Consultant katika shirika la UNESCO. Atakuwa analipwa hela nzuri tu. Je kwa mtazamo wako, unaona tatizo gani katika hiyo picha? Toa maoni.

unesco.JPG

Hii kikwapa ya huyu mother ni telabite siyo gigabite tena, inabidi uwe mvumilivu sana kama ama unachangia naye ofisi au kitanda vinginevyo unaweza ukawa umenuna kila akikusogelea
 
Inaoneka alikuwa msongo na kichwa sana shuleni
Mademu niliosoma nao shule/chuo waliokuwa wanatuburuza
walikuwa kama huyu mama kuanzia mwonekana wa kichwa
uso, ukali, na hiyo self defence mechanism(KWAPA). Huyo ukimtokea
anakuacha unamkumbatia hasa siku aliyotoka maeneo kama ya k'koo
na hutakaa ugeuke hata kumsalimia huku yeye anapiga buku na GPA inakuwa 6+
 
Kama analipwa hela nzuri basi hajavaa pamba za kiwango kinachotakiwa halafu she seem to be rough mpaka kikwapa kinacheua.

Je mmem Consult kwanza au mnamdhalilisha mama wa watu humu bila yeye kujua. Hivi fikiria angekuwa mkewo au mama yako ungejisikiaje?
 
Anatumia NGUVU kuliko AKILI kitu ambacho CONSULTANT hatakiwi kufanya...waache IMPLEMENTORS watoke JASHO mama
 
joto la Dar kama hakuna Air condition hata upake deodorant inaweza chemsha Ila inasaidia kwa kiwango fulani ukizingatia nguo yake imebana kwapa.
Pia sio jasho zote zinanuka kivile inategeneana na mtu pamoja na intake.

jasho ni jasho tuu kudadadeki..yote harufu tuu zinaweza tofautiana kwa ukali lakini zote mmhhh...
 
Inaoneka alikuwa msongo na kichwa sana shuleni
Mademu niliosoma nao shule/chuo waliokuwa wanatuburuza
walikuwa kama huyu mama kuanzia mwonekana wa kichwa
uso, ukali, na hiyo self defence mechanism(KWAPA). Huyo ukimtokea
anakuacha unamkumbatia hasa siku aliyotoka maeneo kama ya k'koo
na hutakaa ugeuke hata kumsalimia huku yeye anapiga buku na GPA inakuwa 6+

ahahahaha kwikwikwi..heheheh umenichekesha mpwa!!
 
Hapo kwenye RED, you made my day!!!

Sikonge tunaita DAWA YA MBU.
Inaoneka alikuwa msongo na kichwa sana shuleni
Mademu niliosoma nao shule/chuo waliokuwa wanatuburuza
walikuwa kama huyu mama kuanzia mwonekana wa kichwa
uso, ukali, na hiyo self defence mechanism(KWAPA). Huyo ukimtokea
anakuacha unamkumbatia hasa siku aliyotoka maeneo kama ya k'koo
na hutakaa ugeuke hata kumsalimia huku yeye anapiga buku na GPA inakuwa 6+
 
Lakini unajua nini, huyu mama inaonekana ni msomi thats why hatumii antipespirant deodorants. Antipespirant wanasema zinachangia sana kansa especially breast cancer coz zinazuia mwili kutoa uchafu, so wanashauri deodorant za kawaida.! Hata hivyo inaonekana ana kwapa kali sana. Hata antipespirant inaweza ikadunda!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom