Tatizo ni nini? Channel/station za kibongo hazionekani dstv??

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,215
39,039
Wakuu merry Christmas

Dstv kwa sasa channel za kibongo kuna wasafi tv, tbc na maisha magic bongo, hzo ndo zinatuwakilisha vzr dstv. Zingine zilizobaki zinafeli wapi?? Au ndo zmeingia mkataba na azam?? Au ubora wa matangazo haujakidhi viwango vya dstv?

Nisaidieini hii wakuu..
 
Wamekuwa wakisema kila siku ili uweze kuziona hizo channel (FTA)kama sijakosea ni lazima upate kibali kutoka TCRA sasa wamekuwa wakituma sana maombi hayo lakini hawapewi
 
Wakuu merry Christmas

Dstv kwa sasa channel za kibongo kuna wasafi tv, tbc na maisha magic bongo, hzo ndo zinatuwakilisha vzr dstv. Zingine zilizobaki zinafeli wapi?? Au ndo zmeingia mkataba na azam?? Au ubora wa matangazo haujakidhi viwango vya dstv?

Nisaidieini hii wakuu..
Channel za Tanzania zilizopo DSTV ni hizi zifuatazo:-

1. Maisha Magic Bongo
2. TBC 1
3. ZBC 1
4. SAFARI CHANNEL
5. CLOUDS PLUS +
6. ETV ya Dj Majizzo
7. WASAFI TV ya DIAMOND PLATNUM SIMBA

Soon zitakazoonekana DSTV ni hizi zifuatazo:-

1.
2.
3.
4.

ZITAJE
 
HILO Jambo ndo lingekuwa lipo azam.
Ongeona balaa lake humu.
wateja wa Azam Wana lawama sanaa.
sisi huku DStv ukiishiwa kifurushi Ni mwendo wa dish TV na tbc mpaka uombe poo.
Haaaa haaa halafu hakuna kulalamika, sasa sijui nani aliwambia kama tuna lalamika kuhusu kukatwa kwa channel zile baada ya kifurushi kukata watu tulisha zoea wangeziacha tu ukiishiwa unatulia
 
Channel za Tanzania zilizopo DSTV ni hizi zifuatazo:-

1. Maisha Magic Bongo
2. TBC 1
3. ZBC 1
4. SAFARI CHANNEL
5. CLOUDS PLUS +
6. ETV ya Dj Majizzo
7. WASAFI TV ya DIAMOND PLATNUM SIMBA

Soon zitakazoonekana DSTV ni hizi zifuatazo:-

1.
2.
3.
4.

ZITAJE
Hapo TBC na ZBC
 
Bila kifurushi cha compact najiona nipo gizani

Kabisa mimi bila kulipia compact plus naona kama adhabu hv, nashukuru dstv mwezi wa4 huu wananipa offa nalipia compact plus wananipa premium
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom