Tatizo ni kuwa aliyeponyeshwa hatatoa ushuhuda

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,346
1552309971798.jpeg
 
Siku nikisikia wachungaji wanakwenda Muhimbili na kuwaponya wagonjwa wote na wakapona, basi nitatoka nusu ya mali yangu kwa masikini wa Tanzania. Mpaka sasa naona hawana tofauti na watabiri wa nyota


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom