Tatizo ni hiki kizazi cha sasa au kuna sehemu wanaume tunakosea?

Bebeto01

Member
Jul 28, 2018
31
75
Habari wakuu, moja kwa moja kwa hili jambo linalonitatiza.

Hawa wanawake wa sasa sijui huwa wanawaza nini aisee, kuna binti tumefahamiana kama siku mbili, siku ya tatu nampigia simu anasema hawezi kupokea sababu speaker ya simu imeharibika, mara kioo kimevunjika anaenda Kariakoo kwa fundi.

Nimekaa nawaza sana kwamba hawa wanawake wa siku hizi tatizo ni malezi au tamaa? Kwanini haya yatokee ghafla, au huwa wanatuona wanaume mabwege au vipi?

Kitu kama hii jamaa angu mmoja kalalamika pia, siku ya pili baada ya kumfahamu binti ghafla hana bundle, mara hajala, kodi, sasa mtu unawaza umeishije kabla yangu?

Aisee inakera sana, muda mwingine umeona binti ana muonekano kabisa wa heshima na unakuwa unawaza kwamba huyu ni wakuweka na ikiwezekana ndoa labda, ghafla matatizo.

Hii inakata sana, wanawake badilikeni.
 
Achana na hawa wa mjini ebu tujaribu mademu wa Bush wale wanaolima kbs shamba awe tu mrembo hao nao wakuzingua njoo kwa wafia dini wanaosali hao tena tabia ikiwa hiyohiyo basi mkuu me sina ushauri mwingine amua mwenyewe utafutiwe mke uoe chap kwa haraka ili uonge officially au uendelee na punyeto
 
Habari wakuu, moja kwa moja kwa hili jambo linalonitatiza.

Hawa wanawake wa sasa sijui huwa wanawaza nini aisee, kuna binti tumefahamiana kama siku mbili, siku ya tatu nampigia simu anasema hawezi kupokea sababu speaker ya simu imeharibika, mara kioo kimevunjika anaenda Kariakoo kwa fundi.

Nimekaa nawaza sana kwamba hawa wanawake wa siku hizi tatizo ni malezi au tamaa? Kwanini haya yatokee ghafla, au huwa wanatuona wanaume mabwege au vipi?

Kitu kama hii jamaa angu mmoja kalalamika pia, siku ya pili baada ya kumfahamu binti ghafla hana bundle, mara hajala, kodi, sasa mtu unawaza umeishije kabla yangu?

Aisee inakera sana, muda mwingine umeona binti ana muonekano kabisa wa heshima na unakuwa unawaza kwamba huyu ni wakuweka na ikiwezekana ndoa labda, ghafla matatizo.

Hii inakata sana, wanawake badilikeni.
🤣🤣🤣
 
Wezesha unachokifukuzia ni chake
 
Mapenzi ni kama bidhaa unayoiona dukani huwezi ipata bure mapenzi sio upendo tena mapenzi ni kama hilo bando ulilojaza likiisha na muda wa matumizi utakuwa umeisha
 
Back
Top Bottom