Tatizo lolote la PC/device

Wakuu msaada hapa, nimejaribu hizo option zote hapo chini bado inakataa, Pc ni hp Pavilion g6.Natanguliza shukran
DSC_0005.JPG
 
Ram 4GB na Hard disk ya 500GB vyote vinauzwa kwa LAKI MOJAA. Vyote vya laptop aina ya HP.
 
Ram 4GB na Hard disk ya 500GB vyote vinauzwa kwa LAKI MOJAA. Vyote vya laptop aina ya HP.
 
PC yang HP 340 sioni Bluetooth hata nikicheki kwenye device manage siioni sijui nifanyaje niiweke kwa PC yangu
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
Blue screen mwenye kuiweza?
 
Kuna application za password recover au clear,
Zipo nyingi ukisearch kwa google.
Ila.mie nimezoea kutumia hirens pasword recover.
Kuna pc nimesahau password nikiwasha tu inanitaka niingize password ili iweze kuendelea sasa nimesahau msaada tafadhali naomba
 
Ni touch? Na unashindwa kuscroll pekee au hata kuopen application nyingine?
Jaribu nenda kwenye settings search mouse response kitu kama hicho.
Mie tatizo langu ni kuwa nashindwa kuscroll kwa kutumia vidole viwili kama zamani. Pc yangu Notebook HP 250 G3 niliinunua ikiwa na window 8.1 na nilikuwa naweza kuscroll kwa vidole viwili. Lakini window ilicorrupt nikaipiga chini. Nimeinstall upya window hiyo hiyo lakini tangu hapo siwezi tena kuscroll kwa vidole viwili.
Naomba msaada wadau.
 
Ni tatizo ambalo huwa linatokea mara kwa mara.
Umeconnect 10 pc kwa network pamoja na printer,
Gafla pc 2 zinashindwa kuprint( kila kitu kipo vizuri ukiangalia tatizo printer spooler ina stop running) uki restart printer spooler na ukirestart inafanya kazi.
Swali langu unawezaje kuzuia isiwe inazingua maana leo pc 3 then unapambana kesho nyongine 2 siku nyinge zinarudia zile zile 3 za mwanzo.
Tatizo limekuwa kubwa hata kwenye pc ambazo zimekonect printer kwa usb.
 
Np Dar weekend hii nitakuwa Mwz nahitaji:
CD window 7&10
IDM
Game la Euro Track
Antvirus.
 
Habar mwalimu wa computer
naomba kujua njia ya kufanya Ili desctop yangu isile umeme
shukrani
 
Wakuu,
Naomba msaada pc yangu imekuwa slow Sana, Ile cursor kuisogeza ni kazi mno, ina load Sana kufuangua file utakalo click.Ukiwasha pale HOME inakuandikia activate windows.

Msaada tafadhali.Ni dell,ina windows 10
 
Back
Top Bottom