Tatizo lolote la PC/device

Hapo jaribu ku configure keyboard in Us keybord maana kuna layout tofauti tofauti kulingana na mazingira. Hiyo inaweza kuwa moja ya sababu.
Pia jaribu kutoa betri na uiiwashe bola kuavhia power butyon kwa dk1 au zaidi hapo ni nila kuchomeka ktk umeme.
Tatu jaribu kucheki bios setting kama kuna setting ya kiboard au uiselekti default.
Mbali na hapo kamuone fundi mtaalamu huku ukiwa umejiandaa na si chini ya elfu sabini endapo itahitajika keyboard nyingine mpya.
 
Techno wx3,, ina tatizo la kujaa hadi kufikia nashindwa kufungua apps nyingi hata kupiga simu au kufungua na kutuma SMS! Inaandika " internal storage running out"

Ikifikia hatua hii siwezi kufanya chochote hadi nifute baadhi ya vitu kwa ajili ya kuongeza nafasi kwenye internal storage hapo ndipo naweza kupiga simu, kutuma SMS na kufanaya mambo mengine
.
.
NB: tatizo hili halitokani na Mimi kudownload vitu kwani linatokea automatically hata kama situmii simu lakin kuna mda unafika unakuta internal storage inapungua kwa kasi!

Nini kinasababisha hili??! Na ni namna gani naweza kutatua hili tatizo?!! Msaada tafadhali
 
Kwa sababu ni tecno na hiyo ndo michezo yake solution nunu cm nyingine isiyoitwa tecno
Techno wx3,, ina tatizo la kujaa hadi kufikia nashindwa kufungua apps nyingi hata kupiga simu au kufungua na kutuma SMS! Inaandika " internal storage running out"

Ikifikia hatua hii siwezi kufanya chochote hadi nifute baadhi ya vitu kwa ajili ya kuongeza nafasi kwenye internal storage hapo ndipo naweza kupiga simu, kutuma SMS na kufanaya mambo mengine
.
.
NB: tatizo hili halitokani na Mimi kudownload vitu kwani linatokea automatically hata kama situmii simu lakin kuna mda unafika unakuta internal storage inapungua kwa kasi!

Nini kinasababisha hili??! Na ni namna gani naweza kutatua hili tatizo?!! Msaada tafadhali
 
Mimi nina samsung note 1 nzito sana hata nikireset bado inakuwa nzito yani slow sana nifanyeje au nika flash
 
Tecno boom j8 iliacha kufanya kazi yenyewe tu baada ya kuitumia kwa miaka mitatu just inawaka tu hai display chochote, nimeenda kuitia file (kuflash) lakini imegoma kabisa, tatizo nini mkuu, au pia kama naweza pata engine yake tuongee biashara
 
Ilo jambo la kawaida sana kwa tecno hata ivo imekaa mda mrefu sana na apo solution ni kubadili injini na kuweka nyingine na pakuipata ni kariakoo
 
Kabisa mkuu, vipi bei zake na kama una contact zozote unisaidie, kariakoo sehemu gani maduka ya simu au kwa wale mafundi
 
Jamani nikiplay video kwa kutumia app ya VLC kwenye pc yangu aina ya dell inascratch ila audio muda huo inakuwa inapiga vizuri tu tatizo ni nini?
 
Wakuu habari zenu jamani me shida yangu hard disk controller card napata wapi wanauza maana kuna hard disk yangu GB3000 haisomi jamani 😎
 
Mkuu, ebu nisaidie.
Nina laptop, Dell Latitude D.830, ina tatizo. Mara ya kwanza ilizima nikaipeleka kwa fundi ikawaka.
Baada ya miezi miwili ikaanza kumwaga wino ktk display nzima. Nilipoizima, ikagoma kuwaka japo niki press start button ina click mara mbili kuashiria imewaka lkn no display. Fundi mwingine akatengeneza ikawaka, nimekaa kidogo ikamwaga rangi tena.
Fundi anadai kuwa kuna tatizo ktk OS au Windows ime crashi. Actually, I don't believe in him.
Please help, tatizo ni nini?
Natamani niitupe! Nimetumia pesa nyingi kuitengeneza.
 
Kwa hilo tatizo haliwezi kua OS wala WINDOWS ni hardware parts mkuu
Mkuu, ebu nisaidie.
Nina laptop, Dell Latitude D.830, ina tatizo. Mara ya kwanza ilizima nikaipeleka kwa fundi ikawaka.
Baada ya miezi miwili ikaanza kumwaga wino ktk display nzima. Nilipoizima, ikagoma kuwaka japo niki press start button ina click mara mbili kuashiria imewaka lkn no display. Fundi mwingine akatengeneza ikawaka, nimekaa kidogo ikamwaga rangi tena.
Fundi anadai kuwa kuna tatizo ktk OS au Windows ime crashi. Actually, I don't believe in him.
Please help, tatizo ni nini?
Natamani niitupe! Nimetumia pesa nyingi kuitengeneza.
 
Update vlc mkuu hiyo iko outdated .....nenda kwenye website yao download mpya hutaona tatizo hilo tena
Jamani nikiplay video kwa kutumia app ya VLC kwenye pc yangu aina ya dell inascratch ila audio muda huo inakuwa inapiga vizuri tu tatizo ni nini?
 
PC yangu aina ya HP sioni Bluetooth icon naomba maelekezo namna ya ku-download na ku-install
 
Computer yangu nikiinstall drivers ndo haisomi kabisa , mpk nirestore ndo isome , nimejaribu (driver enforcement) imeshindika .. nifanyeje
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom