Tatizo lolote la PC/device

Weka specifications za hiyo pc hapa, hdd, ram, processor.
lingine mkuu.
pc yangu N Toshiba sasa kilA nikitaka ku install kitu kutoka store inakuwa inagoma na kusema "could not install plz retry" hapo shida ni nn??

pia nikitaka ku weka CD inagoma inasema no hard disk wakat nakuwa nimeweka hapo shida nayo N nn
 
oyo mi natumia linux elmentary ila kunawakati inastaki hasa napo play video and sametimes audio na kunawakati inakua slow kupitakawaida

Ungepost na aina ya pc unayotumia pamoja na details zote za pc yako ingekuwa bora zaid,

Btw kutokana na video kuganda inatokana na vitu vingi ikiwa pamoja na quality ya video yenyew, unaweza ukaangalia uwezo wa gpu ya pc yako unapoplay video inakuwaje na memory inayobak au inaisha Cheki hiv
intel-gpu-tools (sudo apt-get install intel-gpu-tools)
 
BTW em jaribu kuifungua pc kuisafisha pia ongeza thermal paste Kwenye processor, kisha ifunge vizur rudishia itarud Poa.
Nimejaribu mkuu bado iko slow sana, kuna njia niliona sehemu bt nimesahau ya kufuta makolokolo yaliyojificha kwa kutumia cmd....nikumbushe mkuu
 
Nimejaribu mkuu bado iko slow sana, kuna njia niliona sehemu bt nimesahau ya kufuta makolokolo yaliyojificha kwa kutumia cmd....nikumbushe mkuu


Fungua cmd kisha andika %temp% kisha Bonyeza shift+delete ambayo itakuletea permanently delete ya hizo folder bonyeza tu confirm, baada ya hapo fungua cmd tena andika prefetch itakudai admin privilege ambapo itabid u-confirm kisha fanya hivyo kama Kwenye temporally folders but hapo kuna baadhi ya mafolder yatakugomea kuwa delete utaachana nayo tu

Nafikir ndio njia hiyo ya cmd, na kama ujaelewa sehem usisite kuniuliza
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
Mkuu PC yangu kwenye keyboard haitoi mwanga tatizo ni nini labda?
 
Msaada waeshimiwa

Natumia window 10 home & pro kilabaada ya mda inazingua Bluetooth nainashindikana kufix paka nishushe window niweke tena upya na baada ya wikikadhaa tatizo linajirudia tena

Pc ni elitebook 8470p
RAM 4gb
Intel core i5
Msaada kwa anaejua solutioni ya hili tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada waeshimiwa

Natumia window 10 home & pro kilabaada ya mda inazingua Bluetooth nainashindikana kufix paka nishushe window niweke tena upya na baada ya wikikadhaa tatizo linajirudia tena

Pc ni elitebook 8470p
RAM 4gb
Intel core i5
Msaada kwa anaejua solutioni ya hili tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app

Anyway windows 10 nyingi ukiwa unaweka kweny hizi latest pc uwa zinakuwa na default drivers ya kila hardware ulokuwa nayo Kwenye pc yako, so japo sifaham sana matumizi yako ila kama unaweza uwe una-update driver ya network na kama ukiwa ni Drivers zote bas update zote, na next time kusolve tatizo kama ilo sio lazima upige windows yote chini kuna njia nyepes kama kujua tatizo, kama vile driver imecorrupt so unaiweza ukafanya repair.
 
Back
Top Bottom