Tatizo lolote la PC/device

Pc aina ya HP elitebook. Ukichomeka kwenye moto inatulia tu kwenye 1% siku nyingine inaniandikia NO BATERRY DETECTED shida itakuwa nn maana nilijaribu kubadili batterry na chaja lkn shida bado ipo pale pale
Kama kuna mafundi wa hardware mwanza ijitokeze
 
Gateway zipo nying em angalia model gani ili niiangalie jinsi ya kukusaidia


BTW em jaribu kuifungua pc kuisafisha pia ongeza thermal paste Kwenye processor, kisha ifunge vizur rudishia itarud Poa.
 
Okay, je uwa una-disable iyo windows defender pia, pale kwenye real time protection kuwa off???
Mkuu nimefatilia link zote ulizompa jamaa ili na mimi nisolve tatzo (kuactivate), nimedisable real time protection ya window defender (sina antivirus nyingine yoyote) ila link zote hazijaleta matunda
 
Msaada please, mimi PC yangu nikiwasha inakuwa black screen lakini taa zina blink na feni pia inazunguka,,,nisaidieni tafadhali
 
Ni laptop HP core i5
Tafuta vga cable ya desktop connect hiyo laptop na monitor/screen yoyote , then washa laptop kama itaonesha kwenye monitor/screen basi kioo cha laptop kinamatatizo but kama haitaonesha chochote basi display ya hiyo laptop inamatatizo. NB: Jaribu pia kubadilisha RAM nyingine.
 
Habar kompyuta yangu nikiwasha kweny screen haitoi mwanga ila taa ya moto inawaka,,,, kwa hyo tatzo ni kweny monitor,,,
Je tatzo gan hili ndgu?
 
Habar kompyuta yangu nikiwasha kweny screen haitoi mwanga ila taa ya moto inawaka,,,, kwa hyo tatzo ni kweny monitor,,,
Je tatzo gan hili ndgu?
Jaribu kubadili RAM kwanza yawezkana ina shot
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
oyo mi natumia linux elmentary ila kunawakati inastaki hasa napo play video and sametimes audio na kunawakati inakua slow kupitakawaida
 
oyo mi natumia linux elmentary ila kunawakati inastaki hasa napo play video and sametimes audio na kunawakati inakua slow kupitakawaida
Weka specifications za hiyo pc hapa, hdd, ram, processor.
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom