Sembeta jr
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 805
- 366
Gateway mkuu
Taja model ya hiyo pc yako
Taja model ya hiyo pc yako
Gateway mkuu
Naomba msaada jinsi ya kuroot Tecno C8 Hios
Mkuu nimefatilia link zote ulizompa jamaa ili na mimi nisolve tatzo (kuactivate), nimedisable real time protection ya window defender (sina antivirus nyingine yoyote) ila link zote hazijaleta matundaOkay, je uwa una-disable iyo windows defender pia, pale kwenye real time protection kuwa off???
Laptop/desktop???Msaada please, mimi PC yangu nikiwasha inakuwa black screen lakini taa zina blink na feni pia inazunguka,,,nisaidieni tafadhali
Ni laptop HP core i5Laptop/desktop???
Tafuta vga cable ya desktop connect hiyo laptop na monitor/screen yoyote , then washa laptop kama itaonesha kwenye monitor/screen basi kioo cha laptop kinamatatizo but kama haitaonesha chochote basi display ya hiyo laptop inamatatizo. NB: Jaribu pia kubadilisha RAM nyingine.Ni laptop HP core i5
Ambapo kwangu napata notification
"an error encountered"
Jaribu kubadili RAM kwanza yawezkana ina shotHabar kompyuta yangu nikiwasha kweny screen haitoi mwanga ila taa ya moto inawaka,,,, kwa hyo tatzo ni kweny monitor,,,
Je tatzo gan hili ndgu?
Hazipo kabisa kweny device managerEm Chek Kwenye device manager zote zipo sawa au zimecorupt?
oyo mi natumia linux elmentary ila kunawakati inastaki hasa napo play video and sametimes audio na kunawakati inakua slow kupitakawaidaHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Weka specifications za hiyo pc hapa, hdd, ram, processor.oyo mi natumia linux elmentary ila kunawakati inastaki hasa napo play video and sametimes audio na kunawakati inakua slow kupitakawaida