Tatizo lolote la PC/device

pirate

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
702
643
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.

Karibuni sana wakuu

Pirate
 
OK njia rahisi ni RIGHT CLICK, kwenye battery icon then Kuna options mbili we chagua adjust brightness then hapo unaweza kuongeza na kupunguza mwanga, hope itakusaidia!





NB:for windows based laptops only!

Pirate
hiyo bettery icon ndo siioni mkuu?
 
sju

sjui kaka mm natumia lptopp hyo mengine sjui mkuu
OK, kwenye keyboard hapo Kuna button imeandikwa FN (function key) uwa inakuwa baada ya windows key, ibonyeze iyo usiiachie Kisha bonyeza (FI au F2) au hiz zikishindwa bonyeza(F7 au F8) hiz zote unavyobonyeza bonyeza Mara nying nying NAMAAMISHA HAPO KWA MFANO f8 KUWA UNABONYEZA NA KUACHIA, hizo f1 ad f9 zipo juu, yaan katika row ya kwanza kabisa zimeandikwa pia

Pirate
 
Au pia hapo kwenye desktop ( mwanzon kabisa baada ya kuwasha pc yako kabla ujaingia kwenye application au folder lolote) upande wa chini kulia Kuna icon ya bettery kama inavyoonekana kwenye picha hapo bonyeza Kisha chagua adjust screen brightness then ongeza hapo

Pirate

windows-7-battery-life-indicator.png
 
a
Au pia hapo kwenye desktop ( mwanzon kabisa baada ya kuwasha pc yako kabla ujaingia kwenye application au folder lolote) upande wa chini kulia Kuna icon ya bettery kama inavyoonekana kwenye picha hapo bonyeza Kisha chagua adjust screen brightness then ongeza hapo

Pirate
asante kaka, mkuu! imekuwa sawa kbsaaaaaaaaaaa! thinks very much mkuu!
 
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom