Tatizo lipo kwa TRA kwenye issue bei za vifurushi, nawatetea mitandao ya simu

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,420
Ukiangalia Kodi wanazotozwa hii mitano ya simu na Serkali ni kubwa hasa ikizingatia na faida wanayoipata kupitia Trasfication Fee, kwenye uendeshaji wa mitandao yao wanatumia Pesa nyingi hasa hasa wanaekeza Pesa nyingi kwenye kulinda usalama wa wadukuzi kuanzia kwenye Account za pesa nk..

Ukija kwenye wafanyakazi ukiweka na Kodi wanazochukua Serkali ni kubwa hivyo hawawezi kishusha bei za vifurushi icho kitu never.

Chamsingi tuwaombe Serkali wapunguze Kodi kwa hii mitandao ya Simu ili wananchi wapate Kitonga.
 
Serikali kila mara wanaongeza kodi kwenye huduma za simu, vinywaji yani hawana ubunifu. Sasa kama bia wakiongeza kodi zinapanda, hatuwezi tegemea mawasiliano yasipande.
 
TRA wamekuja jana? Lawama zote ziende kwa TCRA (na haya mambo yao ya kuingilia na bei zao elekezi) kabla hawajalikoroga hali haikuwa mbaya hivi.

Wanashindwa nini kufanya pilot / mfano kwa kutumia likampuni lao TTCL na kuonyesha mfano kuliko kuingilia watu binafsi?

Hizo bei zao elekezi wangepeleka TTCL
 
mwendo uleule
chadema_in_blood-___CNJ8uyVn8yi___-.jpg
 
Mbaya zaidi bei ziko juu na wanapunguza bandwidth. Najiungaga kifurushi cha mwezi ila mpaka sasa kimeisha nimeongeza zaidi ya mara 4 and still counting.
 
Mbaya zaidi bei ziko juu na wanapunguza bandwidth. Najiungaga kifurushi cha mwezi ila mpaka sasa kimeisha nimeongeza zaidi ya mara 4 and still counting
Hatari Sana na mtandao upo slow Sana kama kono kono
 
Ukiangalia Kodi wanazotozwa hii mitano ya simu na Serkali ni kubwa hasa ikizingatia na faida wanayoipata kupitia Trasfication Fee, kwenye uendeshaji wa mitandao yao wanatumia Pesa nyingi hasa hasa wanaekeza Pesa nyingi kwenye kulinda usalama wa wadukuzi kuanzia kwenye Account za pesa nk..

Ukija kwenye wafanyakazi ukiweka na Kodi wanazochukua Serkali ni kubwa hivyo hawawezi kishusha bei za vifurushi icho kitu never.

Chamsingi tuwaombe Serkali wapunguze Kodi kwa hii mitandao ya Simu ili wananchi wapate Kitonga.
Endeleeni kuimba na kumsifia SULUHU mkizani hali ya maisha itakuwa njema tulieni dawa iwaingie
 
Yaan jana nime haha kiukwel na halotel yangu na nili kasirikaa ila kiukwel aya makampuni ya simu yanavyo fanya sio sahihi serikal waliangalie hilii jaman
 
Ukiangalia Kodi wanazotozwa hii mitano ya simu na Serkali ni kubwa hasa ikizingatia na faida wanayoipata kupitia Trasfication Fee, kwenye uendeshaji wa mitandao yao wanatumia Pesa nyingi hasa hasa wanaekeza Pesa nyingi kwenye kulinda usalama wa wadukuzi kuanzia kwenye Account za pesa nk..

Ukija kwenye wafanyakazi ukiweka na Kodi wanazochukua Serkali ni kubwa hivyo hawawezi kishusha bei za vifurushi icho kitu never.

Chamsingi tuwaombe Serkali wapunguze Kodi kwa hii mitandao ya Simu ili wananchi wapate Kitonga.
Ingebaki kama ilivyokuwa sio huu uhuni uliofanyika.
 
Back
Top Bottom