toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 5,811
- 10,193
Pana kampuni moja inayotoa huduma. Kila mara watu wake wa mauzo wanaponijia, huwa nawaambia, mlipokuwa na app yenu, nilikuwa nanunua huduma zenu. Kwa sasa app hamna. Kulikoni? Wakasema madai ambayo sijaweza kuyathibitisha: app yao / web payment solution yao walitakiwa kuilipia mpunga mrefu kwa mdhibiti / some government bureaucracy, mpaka ikawa haimeki bizinesi sense.
Tatizo la kuweka udhibiti kwenye ICT sector. ICT thrives on the mazingira ya fujo, sintofahamu, kila mtu na lwake. Ikianza kuwekewa mikingamo ya kirasimu, ubunifu kwenye ICT kwisha habari yake.
well said, me nasema urasimu, mimi nishawah kutengeneza app inayoweza kutanisha buyers na sellers wa mazao ya kilimo nilivyoenda front mambo nlokutana nayo aisee, nikabaki tu na app yangu, urasimu mwingi and serikali vitu vingine wanazingua