Tatizo Liko Wapi (Msaada tadhali)

JOHN-2030

Member
Jan 15, 2018
14
6
Ninahisi ninaungua Kwenye Mashavu, Mabegani, na kichwani usawa wa Utosi. Wakati Mwingine vichomi vinanichoma kichwani. Sijajua tatizo liko wapi. Nimekunywa dawa sana ila bado tatizo linajirudia.
 
Tatizo umekunywa dawa na hata hatujui ni dawa gani na uliipataje

Maelezo yako ni ya awali sana nenda hospital utapata huduma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom