Na cha ajabu wengi tulipelekwa kenya enzi hizo kusomea huko english medium wakenya hawakuwa wachoyo wakaingiza kipato mpaka wenzao wakaja kufungua shule huku za english medium na wengine wameiga wamewekeza kwenye shule sasa tunaogopa nini kuchangamana Ili tubebe maarifa mengine? Alafu tukiacha kuchukua ujanja kwa jirani itabidi twende mbali huko china kuchukua vitu feki Ili tutumie na wakati hapo jirani unaweza kuchukua ujanja kwa gharama nafuu.