Tatizo la work experience Serikalini

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,709
2,373
Habari wana JF

Mimi naona ngoja niseme haya machache

1.Katika uchaguzi mkuu uliopita Mh Magufuli alihaidi kuwa suala la work experience ataliondoa maskioni kwa watu.
Lakini bado ukiomba nafasi mbalimbali serikalini utasikia wanataka work experience, nivyema gvnt inge specify sehemu ya kupata hiyo experience maana imekuwa wimbo wa taifa.

2. Mtu alie stafu kazi bado anapewa ukuu wa mkoa, hivi maana ya kustafu kazi serikalini nin?, hivi hamna watu wengine wa kuwapa hiyo nafasi ajiri ya kupunguza tatizo la ajira mchini..?

3. Wanasema vijana wafanye kazi
Kitu cha kujiuliza nii
a) viwanja vyote vya kulima vumebinafsishwa zamani
b). Viwanda havifanyi kazi.
C) ukianzisha biashara nayo n fujo sana TRA, Police n.k
d)......

Mimi silaumu serikali ila Mh pombe afanye maamuzi ya kweli.
Pia nafurahishwa na utendaji kazi wake.
24f98e6852fc8d7b08e88eb6c396d5a3.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom