Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

Hii halitokani na kunyoa ni tatizo linalotokana na tissue damage, ni vile cell zinashindwa kufuata mfumo wake wa awali na hutokea maeneo ya mikunjo wa ngozi zaidi. Pia hutokea kwa watu wenye uzito mkubwa zaidi hihi ni kwa 65%.
Najitahidi nije na solution soon.
 
Nimekuwa na tatizo hili kwa muda wa miaka 8, kila mwenye tatizo hili ninaekutana nae pia hunambia amejaribu dawa kadha wa kadha bila mafanikio.

MSAADA !!!!KWA MJUVI WA TIBA YAKE AIDHA YA KUTIBU KABISA AO KU- CONTROL UWEPO WAKE.View attachment 1988111

Huu ugonjwa kitaalamu unaitwa Acne KeloidalisNuchae, chanzo ni kunyoa ambapo kuna vipande vya nywele vilivyokatwa huwa vinabaki ndani ya ngozi na kusababisha hilo tatizo.

Matibabu:
Waweza tumia dawa ya cream inaitwa Clobetasol propriate, kutwa mara mbili kwa mda wa wiki mbili

Au waweza tumia Benzoyl Peroxide

Au waweza tumia injection ya Triamcinolone

NB: huu ugonjwa huwa unasumbua kupona kama hutazingatia dozi kwa wakati, pia kuepuka kunyoa bila kutumia zile dawa maalumu za shaving.
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Amani ya bwana iwe nanyi.
Ninaomba msaada wa ushauri au dawa ya kutibu tatizo hili.
Asànte.
Screenshot_20220411-064031.jpg
 
Kama una connection na mtu anaishi USA Muombe akutafutie after shave razor bump inaitwa TEND SKIN kichupa cha blue, Nilikuwa na shida ya razor bump kila dawa ilishindikana, nikapata mfadhili wa hiyo kitu ikawa tiba. Sasa hivi natumia spirit za kawaida saloon na nipo powa.
Iligharimu US Dollar ngapi ??
 
Nashukuru Steve D na YO Yo kwa kuonyesha concern.Nisiponyoa muda mrefu haviendelei kuota,ila sasa shughuli ninayofanya hainiruhusu kufuga rasta,ningekuwa nina shughuli yangu mwenyewe ningefuga,kwani hili tatizo limekuwa kero sana kwangu.

Nimenunua mashine yangu mwenyewe lakini nadhani tatizo liko pale pale kwenye nyembe.Ila kuna mtu kanishauri nitumie mkasi kunyoa lakini sijapata mtaalamu wa hiyo nyenzo maana vinyozi wengi siku hizi wamesahau kutumia kifaa hicho ambacho tulitumia zamani.

Asanteni sana,bado nasubiri ushauri zaidi.
Pole afande
 
Naombeni msaada wenu hivi vidude naona vimekuja kwa kasi sana na Mara nyingi vinakua vingi zaidi nikienda kunyoa saloon..na saloon nazoenda ni zile zenye kila aina ya usafi unaohitajika.

Lakini naona hivi karibuni vimeongezeka zaidi Kama vinavyoonekana hapo pichani.

Naombeni msaada wenu hivi vipele vinasababishwa na nn na tiba yake ni nn.

Asanteni sana doctors.
kama bado vinakusumbua,dawa ipo ni unapona kabsa
 
Nashukuru Steve D na YO Yo kwa kuonyesha concern.Nisiponyoa muda mrefu haviendelei kuota,ila sasa shughuli ninayofanya hainiruhusu kufuga rasta,ningekuwa nina shughuli yangu mwenyewe ningefuga,kwani hili tatizo limekuwa kero sana kwangu.

Nimenunua mashine yangu mwenyewe lakini nadhani tatizo liko pale pale kwenye nyembe.Ila kuna mtu kanishauri nitumie mkasi kunyoa lakini sijapata mtaalamu wa hiyo nyenzo maana vinyozi wengi siku hizi wamesahau kutumia kifaa hicho ambacho tulitumia zamani.

Asanteni sana,bado nasubiri ushauri zaidi.
Jitahid upate utomvu wa mibono ndio Bora zaidi paka Kila unaponyoa! Pia utomvu wa papai bichi unapaka Kila unapnyoa,,
, ikiwezekana pia tumia kusugua Kwa majivu wkt wa kuoga hrf ukimaliza jifute maji vzr Kisha pakaa kibiriti upele ukiwa umechanganya na mafuta ya Nazi!
Nilipiga dozi hiyo kusugua Kwa majivu bila huruma na kibiriti upele unapaka mchanganyiko wa mafuta mpaka Sasa mwaka wa 13 sijawahi tokewa na hiyo kitu aseee
 
Back
Top Bottom