Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Tunatakiwa kuwa na Tanzania Disaster Management Agency (TDMA) ambayo inatakiwa kuanzishwa kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na Bunge tarehe 26/03/2015, sheria inayojulikana kama Disaster Management Act.
Swali ni je, Taasisi hii ambayo ingekuwa na jukumu la kushughulikia majanga mbalimbali hapa nchini, imewahi kuanzishwa au kwa maneno mengine ipo?
Kama ipo, Director General wa hii taasisi ni nani?
Kama haipo, tatizo ni nini?
Kupanga ni kuchagua; yanayoendelea tumeyachagua.
Act husika hii hapa chini:
https://www.google.com/url?sa=t&sou...FjALegQIAhAB&usg=AOvVaw0QixRYdwpNG_zCiuOQuXoD