HahahaMkuu umerejea kwenye kiti chako
sista amehakikisha lakini kama waya ziko vizuri
maisha yamebadilika zamani wanaume waliwaandaa wanawake siku hizi imekua kinyume chake
mwanaume hutafuta seheme kwa ajili ya tendo lakini mwanamke hutafuta sababu kwa ajili ya tendo hapo ndo tunatofautiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Stress inaweza kuwa sababu kuu ya hili tatizotatizo linazidi kila uchwao,,,,lakini chanzo kikubwa ni msongo wa mawazo na vurugu za maisha wanapitia vijana wa leo.....kuna haja ya kufanya utafiti na kuufanyia kazi ili kuokoa kizazi na kujenga jamii yenye furaha.
Kumbe huwa unaamini maneno ya wanawake ?Aisee kuna wengine wapo vizuri tu hawana maisha ya hovyo yanayofanya wawe na msongo wa mawazo wala nini lakini kitandani hovyo kabisa.
Na mbaya zaidi mademu zao wakikutana na tunaojua kusugua mpaka kunatoka moshi wanatoa siri zao arif...!
Achana na hiyo kitu kabisa, ilishawai nitokea nilikuwa napiga mama flani mtu wa rukwa, tulikuwa ni jirani. Siku moja galfrind wangu alikuja geto na kunikuta nimekaa nje ya nyumba nikawa nimekaa nae. Iliingia msg tuu kwenye simu yangu kuwa "umeamua kunioneshea" baada ya hapo ilikuwa ni kazi kila demu akija ngoma inagoma kuinuka, nikienda kwa bi mkubwa na mechi za ugenini nyingine napiga show ya kiwango cha UEFA. Sema baadae bi mkubwa nikampigia na mwanae alikuwa anasoma chuo. Baadae niliachana na yule mama na maisha yakaendelea, now nina watoto wanne napiga show kwa wife vizuri kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaweza kulala na mamako ?Mama'ko humuamini arif...?
yeah hapa umeongea sahihitatizo linazidi kila uchwao,,,,lakini chanzo kikubwa ni msongo wa mawazo na vurugu za maisha wanapitia vijana wa leo.....kuna haja ya kufanya utafiti na kuufanyia kazi ili kuokoa kizazi na kujenga jamii yenye furaha.
Hakuna "ugonjwa" wa nguvu za kiume!
Hizi ni illusion na maruweruwe tu ya watu! Tatizo linaanzia kichwani.
Madhali hiyo mboo inasimama na kukojoa, basi inatosha.
Lengo kuu la ngono ni kuzaa na kuzalisha na si vinginevyo.
Shida kubwa vijana wamelimbuka na uzinzi kiasi kwamba wako frustrated mpaka mboo zinagoma kusimama!
Relax. Life is too short.
Kutwa kuwaza ngono asubuhi na jioni!