Tatizo la vidonda mdomoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la vidonda mdomoni

Discussion in 'JF Doctor' started by MNYISANZU, Mar 26, 2012.

 1. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Tatizo hili husababishwa na nini na tiba yake ni ipi plz ushaur wenu ni muhimu ninarafik yangu anasumbuliwa sana na tatizo hili
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,884
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Aaa" kaka si ufunguke tu tujuze bana
   
 4. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Yaweza kuwa una oral thrush au scurvy which is less likely. Lakini pia yaweza kuwa una vidonda vya homa. Kwa vyote hivyo kwanza yakubidi kutumia vit c. Halafu kama ni oral thrush, tumia nystatine oral drops. Kama ni scurvy hiyo vit c yatosha. Na kama ni harpes(vidonda vya homa) nenda hospitali ukapime status yako.

  Usiogope ukweli. Kwani ukweli wako ndiyo utakao kuokowa.
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Dr asante kwa ushauri wako mzuri na wa kina be blessed! Sasa hzo dawa ntazpataje! Also nlshaenda kuchek status yangu niko pouwa!
   
 6. k

  kamili JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Wakati mwingine ni vizuri ukamshawishi aulize yeye mwenyewe kuliko ukamuulizia. kama vile ambavyo huwezi kupimwa badala yake au huwezi tumia dawa badala yake, au huwezi pona badala yake.
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Kama tatizo ni mara moja moja sana then Kuna dawa inaitwa Hydrogen Peroxide (take note ni ya kusukutua). Siku moja ama mbili wapona. Kama ni tatizo la mara kwa mara kamuone Doctor ni bora zaidi.
   
 8. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 607
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Tatizo hili Tatizo hili husababishwa na nini na tiba yake ni ipi plz ushaur wenu ni muhimu ninarafik yangu anasumbuliwa sana na tatizo hili
  Hapo kwenye RED, mbona kauli hizi mbili zinatofautiana? Kuwa mkweli siku zote.
   
 9. k

  kamili JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Sijui kwanini watu wanasingizia sio wao hali ya kuwa hapa jamvini hatufahamiani. Au wenzangu wajuana labla?
   
 10. k

  kisukari JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,479
  Likes Received: 709
  Trophy Points: 280
  si useme ni wewe tu jamani?kuugua ni kawaida.baadae sentensi zako,umejichanganya mwenyewe,inaonyesha ni wewe ila unamsingizia rafiki yako
   
Loading...