Mbeba Maono
Senior Member
- Jun 24, 2008
- 108
- 7
Jamani, kama kuna madoctor humu, naombeni mnijibu hapa. ninaye rafiki yangu ambaye ameoa mwanamke na kwa muda mrefu sasa hawajapa mimba. yule mke ni ndugu yangu kwahiyo jamaa ni kama shemeji pamoja na kwamba ni rafiki yangu wa karibu sana ambaye tulisoma pamoja. imefikia kipindi wakawa wanaamini kuwa wamelogwa, wakaenda sana hospital kubwa kupima, lakini kila wakipima hawaoni ugonjwa isipokuwa, mkewake anachange sana siku zake yaani haziko stable, wakati mwingine ni siku ishirini na mbili, mara 23, mara 25 mara 26, hafiki kabisa 28. NI RAFIKI YANGU, NA IMEFIKA KIPINDI AKANIELEWA KIUNDANI OPEN KWASABABU MIMI NI MTU WAKE WA KARIBU SANA. the guy has been open to me kwasababu mimi huwa naweza kuwa open kwake ktk mambo mengine only where necessary kushirikishana kimaisha kimsaada.
yule mwanaume hajawai kupima, na haamini kuwa hata yeye anaweza kuwa na tatizo, kwani anavyonieleza ni kwamba, yeye anakojoa kama kawaida na mbegu nyingi, sasa itakuwaje hawapati mimba? nilimshauri atageti siku kama siku ya 13 au 14 hivi, lakini anasema bado tu hawapati mimba. swali langu ni kwamba, mimi naamini kwa kusoma magazetini na vitabu kuwa, mwanaume nae pamoja na kuejaculate anaweza kuwa na matatizo aziweke mimba, SASA NAOMBENI MNIAMBIA, NI MATATIZO GANI YA UZAZI MWAMAUME ANAWEZA AKAWA NAYO KUWEZA KUSHINDWA KUTENGENEZA MIMBA?
au ktk tatizo kama hili wawezaje kumshauri mtu. naomba ongeeni kitaalamu, msilipeleke jambo hili kwenye imani za kishirikina. asante.