Tatizo la uzazi kwa mwanaume

Mbeba Maono

Senior Member
Jun 24, 2008
108
7
Jamani, kama kuna madoctor humu, naombeni mnijibu hapa. ninaye rafiki yangu ambaye ameoa mwanamke na kwa muda mrefu sasa hawajapa mimba. yule mke ni ndugu yangu kwahiyo jamaa ni kama shemeji pamoja na kwamba ni rafiki yangu wa karibu sana ambaye tulisoma pamoja. imefikia kipindi wakawa wanaamini kuwa wamelogwa, wakaenda sana hospital kubwa kupima, lakini kila wakipima hawaoni ugonjwa isipokuwa, mkewake anachange sana siku zake yaani haziko stable, wakati mwingine ni siku ishirini na mbili, mara 23, mara 25 mara 26, hafiki kabisa 28. NI RAFIKI YANGU, NA IMEFIKA KIPINDI AKANIELEWA KIUNDANI OPEN KWASABABU MIMI NI MTU WAKE WA KARIBU SANA. the guy has been open to me kwasababu mimi huwa naweza kuwa open kwake ktk mambo mengine only where necessary kushirikishana kimaisha kimsaada.

yule mwanaume hajawai kupima, na haamini kuwa hata yeye anaweza kuwa na tatizo, kwani anavyonieleza ni kwamba, yeye anakojoa kama kawaida na mbegu nyingi, sasa itakuwaje hawapati mimba? nilimshauri atageti siku kama siku ya 13 au 14 hivi, lakini anasema bado tu hawapati mimba. swali langu ni kwamba, mimi naamini kwa kusoma magazetini na vitabu kuwa, mwanaume nae pamoja na kuejaculate anaweza kuwa na matatizo aziweke mimba, SASA NAOMBENI MNIAMBIA, NI MATATIZO GANI YA UZAZI MWAMAUME ANAWEZA AKAWA NAYO KUWEZA KUSHINDWA KUTENGENEZA MIMBA?

au ktk tatizo kama hili wawezaje kumshauri mtu. naomba ongeeni kitaalamu, msilipeleke jambo hili kwenye imani za kishirikina. asante.
 
Ingekuwa vizuri zaidi huyo jamaa yako angeenda hospitali kufanyiwa uchunguzi na kupata ushauri wa kitaalamu. Ikibidi waende wote wawili. Kwani tatizo linaweza kuwa ni la kwake kwa kutokuwa na mbegu strong kuwezesha kutunga mimba. Kuwa na msongo wa mawazo (stress/anxiety) hivyo kushindwa kutungisha mimba. Au ni mama mirija yake imeziba na hivyo mimba haziingii. Au anaweza kuwa na maradhi mengine ambayo yameathiri mji wa uzazi. Ni vyema wakapata ushauri wa kitaalamu. Nimeshakutana na cases nyingi za aina hiyo na ambazo zimepata ufumbuzi baada ya mwanaume kukubali kwenda hospitali.
Jaribu kumshauri huyo jamaa yako. Najua ni ngumu kiasi kwa wanaume.
 
Jamani, kama kuna madoctor humu, naombeni mnijibu hapa. ninaye rafiki yangu ambaye ameoa mwanamke na kwa muda mrefu sasa hawajapa mimba. yule mke ni ndugu yangu kwahiyo jamaa ni kama shemeji pamoja na kwamba ni rafiki yangu wa karibu sana ambaye tulisoma pamoja. imefikia kipindi wakawa wanaamini kuwa wamelogwa, wakaenda sana hospital kubwa kupima, lakini kila wakipima hawaoni ugonjwa isipokuwa, mkewake anachange sana siku zake yaani haziko stable, wakati mwingine ni siku ishirini na mbili, mara 23, mara 25 mara 26, hafiki kabisa 28. NI RAFIKI YANGU, NA IMEFIKA KIPINDI AKANIELEWA KIUNDANI OPEN KWASABABU MIMI NI MTU WAKE WA KARIBU SANA. the guy has been open to me kwasababu mimi huwa naweza kuwa open kwake ktk mambo mengine only where necessary kushirikishana kimaisha kimsaada.

yule mwanaume hajawai kupima, na haamini kuwa hata yeye anaweza kuwa na tatizo, kwani anavyonieleza ni kwamba, yeye anakojoa kama kawaida na mbegu nyingi, sasa itakuwaje hawapati mimba? nilimshauri atageti siku kama siku ya 13 au 14 hivi, lakini anasema bado tu hawapati mimba. swali langu ni kwamba, mimi naamini kwa kusoma magazetini na vitabu kuwa, mwanaume nae pamoja na kuejaculate anaweza kuwa na matatizo aziweke mimba, SASA NAOMBENI MNIAMBIA, NI MATATIZO GANI YA UZAZI MWAMAUME ANAWEZA AKAWA NAYO KUWEZA KUSHINDWA KUTENGENEZA MIMBA?

au ktk tatizo kama hili wawezaje kumshauri mtu. naomba ongeeni kitaalamu, msilipeleke jambo hili kwenye imani za kishirikina. asante.

Huyo mshikaji wako anaweza akawa na low sperm count, varicocele, au usikute katika shahawa zake hakuna mbegu za uzazi (azoospermia). Pia kuna lifestyle factors ambazo zinachangia mwanaume kuwa infertile nazo ni kuvuta sana sigara, kuvaa chupi zinazobana (kama zile za VIP enzi zile), matumizi ya madawa ya kulevya na matumizi ya pombe yaliyokithiri. Mshauri huyo rafiki yako aende akamwone urologist.
 
Mshauri naye aende akapime labda anakojoa mbegu dhaifu ndo maana anashindwa kufanya mambo.Mwambie amwone Dr. tatizo linaweza kuwa kwake.
 
inaelekea rafiki yako tayari anajishuku kuwa hana uzazi....Vinginevyo nadhani lawama angezielekeza kwa mkewe as usual. Kama mkewe ameshapimwa akaonekana hana tatizo..akaze roho naye akapimwe apewe ushauri wa kitaalamu badala ya kuendelea kubahatisha na kuomba ushauri kwa wasio na utaalamu huo.. All we can do is guess na haitamsaidia sana.Ikiwa hana uzazi its not the end of the world..there are other options like adoption.I know it hard for a man kukubali kuwa hawezi kukosa uzazi... maana inakuwa equated na kutokuwa rijali wakati si kweli.Let him be a man and face it.Atakavyozidi kujibalaguza ndio hapo atamtia majaribuni mkewe amletee mtoto asiye wake halafu kesi iwe mbaya!
 
Mwambie kama ana matatizo haya hapa chini aende kwa daktari.

Alcohol Abuse and Alcoholism

Depression

Diabetes

High Blood Pressure

Kidney Failure

Multiple Sclerosis

Prostate Cancer

Smoking

Stress

Atherosclerosis

Former Injuries or Surgery (to the penis, spinal cord, prostate, bladder, and pelvis)

Dawa za Kujaribu.
sildenafil, Viagra

tadalafil, Cialis

vardenafil, Levitra

Mimi siyo Doctor ila I highly recommend sildenafil.
 
Unaweza kukuta hata huyo shemeji yako nae hana tatizo lolote.

Pengine huwa wanakosea timing tu. Waambie watafute Ovulation Calendar (wanaweza waka subscribe online). Hiyo itawaidia kujua ni muda gani wanatakiwa kujaribu.

Halafu wakati wana nanii, anapaswa ku-dump mbegu ndani kabisa. Kwa hiyo anahitaji stiffness kuweza kufikisha mbegu ndani zaidi. Baada ya ku-dump, mkewe anatakiwa alale miguu juu si chini ya nusu saa, ili kusaidia mbegu kusafiri kirahisi.

Kitu cha kuzingatia ni kwamba, zoezi lote hili linaweza kuathiriwa na pyschology kwa kiasi kikubwa. Hivyo basi, vitu kama kupoteza erection (mume) na heat (mke) vinaweza kutokea wakati wa kujaribu. Kwa hiyo, waambie wasione aibu kutembelea sex stores few days kabla ya ovulation.
 
Mwambie kama ana matatizo haya hapa chini aende kwa daktari.

Alcohol Abuse and Alcoholism

Depression

Diabetes

High Blood Pressure

Kidney Failure

Multiple Sclerosis

Prostate Cancer

Smoking

Stress

Atherosclerosis

Former Injuries or Surgery (to the penis, spinal cord, prostate, bladder, and pelvis)

Dawa za Kujaribu.
sildenafil, Viagra

tadalafil, Cialis

vardenafil, Levitra
Mimi siyo Doctor ila I highly recommend sildenafil.

Tatizo kasema sio kupata na ku-maintain erection. Tatizo mke wa jamaa ha-conceive....therefore, the problem is infertility in either the husband or wife.
 
The Nyani Ngabu post above is quite useful.

Pia inawezekana hakuna tatizo ni swala la timing, au wanahitaji fertility boosters.Siku za karibuni hizi zimekuwa zikisababisha watu kupata watoto wengi kwa mpigo (triplets,quintuplets, sextuplets etc).Kuna rafiki yangu alikaa na mkewe miaka 10 bila mtoto, mpaka wakaamua ku adopt, baada ya miaka 10 mkewe akapata mimba ya kawaida to everyone's surprise.
 
Tatizo kasema sio kupata na ku-maintain erection. Tatizo mke wa jamaa ha-conceive....therefore, the problem is infertility in either the husband or wife.

Sawa NN. Lakini tatizo ya ku-conceive linaweza kusababishwa na mwanaume. Sasa kama issue ni mwanaume, unaweza kukuta hawi stiff enough kuweza kudondoshea kipande chake sehemu inayotakiwa. Kwa hiyo inawezekana kabisa kuwa tatizo ni ku-maintain erection just enough ku-dump ndani. Don't you think?
 
Wakuu,Maelezo yenu ni muhimu sana,Nina jamaa yangu wa karibu alikuwa na tatizo kama hilo,na tukamshauri amuone Urologist kwa ushauri wa kitaalam,Nimesoma ushauri wa Mkuu NN hauna tofauti yeyote na ushauri ule wa Dr.Wills.Tatizo hilo la Wanaume/Wanawake kutopata Mtoto limekuwa kubwa sana siku za karibuni,lakini sababu kubwa mara nyingi ni Timing na Stresses kwa couple husika.Ushauri wako QM ni muhimu na nafikiri ni vyema Wahusika wajaribu ushauri huo kabla ya kuingia kwenye mambo ya Cialis.
 
Sawa NN. Lakini tatizo ya ku-conceive linaweza kusababishwa na mwanaume. Sasa kama issue ni mwanaume, unaweza kukuta hawi stiff enough kuweza kudondoshea kipande chake sehemu inayotakiwa. Kwa hiyo inawezekana kabisa kuwa tatizo ni ku-maintain erection just enough ku-dump ndani. Don't you think?

No, I don't think so. Inability to get and maintain an erection doesn't cause male infertility. That is erectile dysfunction and to my knowledge there is no direct relationship between the two (male infertility and ED). Male is infertility has more to do with the viability of the sperm whereas ED has more to do with the blood flow to the penis.
 
You missed my point NN!

Point yangu ilikuwa ina-base kwamba wote wawili (mke na mume) wanaweza kuwa hawana matatizo ya uzazi. Nilipogusia ishu ya erection, nilikuwa na maana ya kwamba ili mshikaji aweze ku-successfully dump mbegu mahali pazuri, basi anahitaji awe stiff enough. Kwa sababu asipokuwa hard enough, awezi ku-push deeper (hakuna ubishi hapa), na matokeo yake anaweza kujikuta ana drop mlangoni (which decreases the chance of conceiving).

Kwa hiyo, ingawa ni kweli hakuna uhusiano wowote kati ya erection na fertility, lakini bila ya shaka one needs hard erection to drop alliens in a even deeper spot...right??

Otherwise, kama issue iko confirmed kwamba jamaa ana matatizo ya uzazi (which hasn't been mentioned anywhere other than kuwa na wasiwasi), then wanahitaji kwenda kumwona urologist kama ulivyo suggest.
 
Ukisoma bandiko la jamaa utaona kuwa amesema huyo rafiki yake na mke wake wameoana kwa muda mrefu sasa. Wataalamu wa mambo ya uzazi wanasema kwamba mume na mke kama wamekuwa wakijaribu kwa muda wa mwaka au zaidi basi hao wana matatizo ya uzazi na wataalamu hao wanashauri kwenda kupata msaada. Haiwezekani kama wote mko fiti, na sex life yenu iko pouwa kabisa kujaribu kwa mwaka mzima bila mimba kutungika.

Nije kwenye pointi yako ya pili kuhusu erection. Kwanza kabisa, huhitaji kuwa umedi.ndisha hard sana ili kuweza kum-knock up demu wako. Kinachohitajika ni uume kuwa ndani ya uke halafu unakojoa na mambo mengine yatajipa yenyewe kama kila kitu kiko freshi. Sasa uume kuwa ndani ya uke siyo lazima nanihino iwe imedin.da kama nondo.Halafu hata pre-cum au pre-ejaculate zina contain sperm. Kwa hiyo siyo lazima ku dump big load ili kuweza kumjaza demu na hakuna sehemu maalumu ndani ya uke unayotakiwa kukojolea ili demu apate mimba. Unachoongelea wewe kuhusu ku drop mlangoni nadhani hiyo inahusiana zaidi na premature ejaculation kuliko erectile dysfunction na infertility ingawa na yenyewe ni moja ya sexual dysfunction pia.

Having said all that, infertility affects both men and women just about equally. Most of the causes are known and treatable but there is a certain percentage (of which I don't have off-hand) of those causes which is unknown as to what causes it.
 
Ni kweli kuwa mimba inaweza kutungwa bila hata ya strong erection. Lakini chance ya utungaji inapungua kama erection haiwi strong (kwa sababu erection inatakiwa ili kwenda deeper). Na the deeper kipande kinapokatikia, the more chance ya upataji wa mimba inapoongezeka.

Kwa nini na support hivi? Kwa sababu ndani ya uke kuna constant pressure ambayo ina push outside. Ndio maana pale baada ya ku-ejaculate, ukichomoa tu, mbegu nyingi zina spill out. Au pale wakati wa kunanii, mwanamke akicheka, unafeel kuwa slipped (pushed) out.

Sasa basi, katika zoezi zima la utungaji wa mimba, the main target ni ku-dump inside as many sperms as possible. Na kwa sababu kule ndani (uke) kuna outward pressure, the idea ni kwenda deeper na kukata kipande chako ili ku-reduce chance ya mbegu ku-spill out.

Sasa je inawezekana kufanya hivyo bila ya sufficient erection? I seriously doubt!

Now, kwanini nina point out erection sana? Kwa sababu zoezi zima la utungaji wa mimba ya kupanga (zile zinazotokea zenyewe hazina issue) linaweza kuwa affected na mentor issue kwa kiasi kikubwa. Mentor issue inakuja kwa sababu ya kuwa nervous baina ya washiriki. Na kwa sababu hiyo, utakuta ni rahisi kwa mwanaume kushindwa ku-maintain erection. Na bila ya erection zoezi zima linaweza lisifanyike vizuri. Pia, kuwa nervous hakum-affect mwanaume pekee, bali mwanamke pia. Mwanamke anakuwa affected kwa kutokuwa "heated" and "wet" enough.

Sasa tukirudi kwenye issue ya ndugu zetu wawili hawa, utaona kwamba mzunguko wa huyo mwanamke uko all over...23, 24, ....26. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kabisa katika kipindi chote cha walichoowana wamekuwa wakimiss timing, na sio matatizo ya infertility. Hapa ndipo ovulation calendar inapokuja into play.

Of course, kumwona daktari haraka kunaweza kuwasaidia kujua haswa tatizo liko wapi....
 
Ni kweli kuwa mimba inaweza kutungwa bila hata ya strong erection. Lakini chance ya utungaji inapungua kama erection haiwi strong (kwa sababu erection inatakiwa ili kwenda deeper). Na the deeper kipande kinapokatikia, the more chance ya upataji wa mimba inapoongezeka. Kwa nini na support hivi? Kwa sababu ndani ya uke kuna constant pressure ambayo ina push outside. Ndio maana pale baada ya ku-ejaculate, ukichomoa tu, mbegu nyingi zina spill out. Au pale wakati wa kunanii, mwanamke akicheka, unafeel kuwa slipped (pushed) out.

Sasa basi, katika zoezi zima la utungaji wa mimba, the main target ni ku-dump inside as many sperms as possible. Na kwa sababu kule ndani (uke) kuna outward pressure, the idea ni kwenda deeper na kukata kipande chako ili ku-reduce chance ya mbegu ku-spill out.

Sasa je inawezekana kufanya hivyo bila ya sufficient erection? I seriously doubt!

Now, kwanini nina point out erection sana? Kwa sababu zoezi zima la utungaji wa mimba ya kupanga (zile zinazotokea zenyewe hazina issue) linaweza kuwa affected na mentor issue kwa kiasi kikubwa. Mentor issue inakuja kwa sababu ya kuwa nervous baina ya washiriki. Na kwa sababu hiyo, utakuta ni rahisi kwa mwanaume kushindwa ku-maintain erection. Na bila ya erection zoezi zima linaweza lisifanyike vizuri. Pia, kuwa nervous hakum-affect mwanaume pekee, bali mwanamke pia. Mwanamke anakuwa affected kwa kutokuwa "heated" and "wet" enough.

Sasa tukirudi kwenye issue ya ndugu zetu wawili hawa, utaona kwamba mzunguko wa huyo mwanamke uko all over...23, 24, ....26. Kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa kabisa katika kipindi chote cha walichoowana wamekuwa wakimiss timing, na sio matatizo ya infertility. Hapa ndipo ovulation calendar inapokuja into play.

Of course, kumwona daktari haraka kunaweza kuwasaidia kujua haswa tatizo liko wapi....

Show me some empirical data on bolded statement(s) above that support what you are saying.....
 
Yai bovu yai bovu... linanuka linanuka....

Sorry for sarcasm, lakini kumwaga shahawa nyingi hakuna maana kuna mbegu imara!
 
kuna watu wanapiga brash tu pale juu mtoto ana bikira yake unasikia ana mimba kaazi kweli kweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom