Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

Tafuta mdada ambaye pia uke wake umepindia kushoto so mtaenda sambamba wakati wa kujamiina!
 
Nina wasiwasi kwa namna ulivyopinda...ukienda kuogelea kwenye bwawa lenye visamaki unaweza kujikuta umevivua vya kutosha kama ndoana vile

Wana Jf naomba msaada wenu uume wangu umepinda kuelekea kushoto uwe umelala au umesimama nahisi utaniletea matatizo wakati wa kufanya mapenzi je nifanyeje ili unyooke uwe kama kawaida.?nina miaka 20
 
Upande uliopinda ukate au unyooshe na nyundo.....
 
Em kueni na busara jaman, mwenzenu anapokua na shida yuko serious kutafuta tiba. Nyie mnamjibu majibu ambayo siyo, haipendezi jaman, ustaarabu jambo la bure kabisa.

Tubadilike.
 
umeshawaona marnah inabidi wabadilike hebu funguka ushauri wako mkuu.
 
Em kueni na busara jaman, mwenzenu anapokua na shida yuko serious kutafuta tiba. Nyie mnamjibu majibu ambayo siyo, haipendezi jaman, ustaarabu jambo la bure kabisa.

Tubadilike.

Marnah Nkopee hela mwenzio nimalizie mahali kule Handeni kwa baba mkwe...
 
Pole, hivi hakuna P.O.P zake?

Acha kuvaa kyupi kabisa wala boksa ili uwe unaning'inia, gravity ina nguvu sana.
 
Wana Jf naomba msaada wenu uume wangu umepinda kuelekea kushoto uwe umelala au umesimama nahisi utaniletea matatizo wakati wa kufanya mapenzi je nifanyeje ili unyooke uwe kama kawaida.?nina miaka 20

mbona zipo k zenye kona mwanzoni tu.
 
Wana Jf naomba msaada wenu uume wangu umepinda kuelekea kushoto uwe umelala au umesimama nahisi utaniletea matatizo wakati wa kufanya mapenzi je nifanyeje ili unyooke uwe kama kawaida.?nina miaka 20
Kupinda kunaweza kukawa ni sababu ya mojawapo au yote ya haya nitakayoyataja hapa chini
1. Chupi
Kwa kawaida huwa tuna weka madushelele yetu upande mmoja.... kuna wanaoweka kushoto , akuna wanaoweka kulia... Matokeo yake dushelele inazowea huko na mwisho unakuwa huwezi badilisha... INAPINDIA KUELEKEA HUKO ULIKOISZOWESHA

2. Kutahiriwa
kwa wale waliotahiriwa na kushonwa, kuna watu wameachwa na ngozi kubwa upande mmoja, na upande mwingine imefutwa sana kiasi cha kuifanya dushelele ielekee upande uliovutwa sana ngozi...

Kwa mtazamo wangu, kupinda si ishu, na tena ikiwa imepinda au ina makirogesheni ndo inakuwa starehe kwa mwenzi wako... UMESHAWAHI KUJIULIZA, KWA NINI KONDOMU ZINAWEKA VIPELE..??? Huko ni kutafuta makorogesheni

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom